Soundtrack for the bedroom............ My top 20

Hakuna wapenda taarabu humu? Mbona sijaona hata track moja ya mambo ya rusha roho!

Kuna kitu cha "TX mpenzi doctor wangu jamani".....
TX hasiti kufanya operesheni..... anapenda katikati hanipasui pembeni......."

leta yako kwanza
nikupe yangu lol
 
yes
unamjua Mwanahela?
anao mmoja unaitwa 'mkuna na mkunwaji'
unaujua?

Mwaya, l have to admit kuwa sio mshabiki saana wa taarabu; hiyo track niliijuwa back then nakaa na Sis wangu Tandika, kama unakumbuka karibu kila chumba (sio nyumba) zilikuwa ni nyimbo hizo!

Napenda blues na R&B zaidi, though l can listen to anything.
 
kumbe Tandika ulikaa?
basi kumbe una street credit zoote?
nilifikiri mtoto wa mama tu lol
hiyo nyimbo nitakusikilizisha siku moja
 
kumbe Tandika ulikaa?
basi kumbe una street credit zoote?
nilifikiri mtoto wa mama tu lol
hiyo nyimbo nitakusikilizisha siku moja

Dada yangu alipanga nyumba moja na Sara Dumba (sijui bado yupo), any way nilikuwa muoga sana au tuseme mshamba. Nilipelekwa kwenye vibanda vya video; ndipo kwa mara ya kwanza nikaona picha za X.

Honestly l don't miss those days!
 
Sasa banda la vdeo
ikawaje?how old were u?
 
Sasa banda la vdeo
ikawaje?how old were u?

Nothing happened, ila nimekumbuka tu ile ya kucheck video kwenye viukumbi. Nilipelekwa na Housegirl wa dada, alikuwa Mdada wa kigogo.

Sikuambii, u might figure out ni mvua ngapi nimekula. LOL
 
Some of my favourites KIKUNGU

Lovely BAK...........been waiting for yours since last night...........very lovely numbers and more new school of music....................Thanks man
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nothing happened, ila nimekumbuka tu ile ya kucheck video kwenye viukumbi. Nilipelekwa na Housegirl wa dada, alikuwa Mdada wa kigogo.

Sikuambii, u might figure out ni mvua ngapi nimekula. LOL

Najua how old are u
niliipata kuna siku ulisema umri wako ulipokuwa una mimba
nika add na umri wa mtoto lol
so bora useme hiyo
haina madhara..lol
najua the truth lol
 
Najua how old are u
niliipata kuna siku ulisema umri wako ulipokuwa una mimba
nika add na umri wa mtoto lol
so bora useme hiyo
haina madhara..lol
najua the truth lol

Haya bwana, sasa kama anajua fanya tena mahesabu; nyimbo za TX zilitoka lini halafu utapata how old l was! LOL
 
Mmmh inywe yuhe mhanya sasa henaho?Nukova vyatozya.........ha ha ha ha .......The Boss nuyu Kaunga

Kaka yangu hunitakii mema, yaani kunioza kwa mtaalamu wa cheating! Khah, sijui ndio kuchoka kuombwa pesa kila katikati ya mwezi huko; yaani bora niolewe tu eeh?

Haya bwana.
 
Back
Top Bottom