Soulmate

Soulmate

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,157
Reaction score
2,663
Inasemekana hii kitu ina nguvu sana, uwe na mpenzi au siyo, mtu ambaye ni soulmate kwako/wako ni vigumu sana kumtupa!!

Moyoni unakuwa na hisia kali mkiwa katika hali ya "SOULMATE" na haichagui umri kabisa...uwe na miaka 70 na mwenzio ana miaka 20 na bado mnaelewana tu fresh, ile ya jinsia tofauti wengi waliokumbwa nalo wanadai ni mtamu sana kupindukia.

SOULMATE INA NGUVU SANA!
 
for sure, soulmate haichagui umri wala sura.
 
Mtoa mada unajifanya huoni maswali ya wadau hapa
 
Hahahahaa that soul mate thing, mmenikumbusha mbali with my soulmate, we were so in love that we could not see anything else in the world only us. I love those days ila ndo daahh soul mate wangu aliibiwa humuhumu......:sad:
 
Nawewe niibe niwe soulmate wako wa mchepuko.
 
Nawewe niibe niwe soulmate wako wa mchepuko.

hahahahaaa Asprin bana, sasa nikuibeje? ila haitanoga ya kuchepuka inanoga ile orijinale yenyewe yenyewe, me soulmate, soulmate me.
 
Nawewe niibe niwe soulmate wako wa mchepuko.
10395836_10152177654542546_2672614130197660245_n.jpg

Sidhani kama mchepuko ina maana kamili ya dhana ya soulmate, maana maana halisi ni full kushibana kwa sana tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom