ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,596
Good nightini!
Good morning to u
Good nightini!
Njoo uwe......Ntatia nini na sina cha kutia walai...hapo kwa soulmate hapajawahi nipata!
Jina lako linanikumbusha mengi...ndo maana i never quote nor mention u!
Good morning ICHANA.
hahahahaaa Asprin bana, sasa nikuibeje? ila haitanoga ya kuchepuka inanoga ile orijinale yenyewe yenyewe, me soulmate, soulmate me.
Ntatia nini na sina cha kutia walai...hapo kwa soulmate hapajawahi nipata!
So do İ, hakyamungu.
Babu nni...ugomvi wangu na wewe hautaisha
unajua hilo.
Nawewe niibe niwe soulmate wako wa mchepuko.
Nawewe niibe niwe soulmate wako wa mchepuko.
Ukishampata wakili mzuri unambie. Mi ntajitetea mwenyewe na naamini ntakushinda. Jiandae kwa faini.
faini in kind.... İ don't prefer cash..Ha ha ha ndo kauli mbiu zako
Wakili wa nn....
Faini ya aina gani.....cos mm ntakupoteza kama ndenge ya Malaysia wallah.ntakufungia kwenye kichupa
haaaapa tu ndo!
biashara asbh!
nakupendea haaaaapa tu!
hulazagi damu kupoteza fursa!
hhahahahahha wallahi hujuagi tu unavoniwacha hoi na harakati zako!
Sikuonisiku hizi soulmate
faini in kind.... İ don't prefer cash..
Mi wala sitishiki. Kwa taarifa yako hicho kichupa ntakununulia mimi mwenyewe.
Jiandae.
U know kesi za kuua vibabu zinaanz hivi hivi
Mbio za maradhoni unazo
Ushasahau siku hizi mababu ndo wanazika wajukuu?
Njoo uwe......
So do İ, hakyamungu.
ICHANA...goes way back in 2003..acha tu!Ha ha ha omg tell me the secret behind bhasi Mentor
Mimi palishanipata, nataka nichomoke lakini nashindwa, soulmate ameset very high standards ambazo mbadala wake kumpata ni shughuli! Ila all in all kitaeleweka