Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
.........Ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kufuli.......:llama::llama::llama:
Soulmate mambo...?
.........Ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kufuli.......:llama::llama::llama:
:hand::hand::hand:....Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....:israel::israel::israel:Sure itakuwa ngumu kama hujui kitu ni vugumu kupata solution
Tambua kila kifuli ina funguo zake na haziingiliani..
Kazi kwako.
Soulmate mambo...?
Thats my soulmate........ Missed you darling. Hivi kwanini umeniblock kule mtaa wa pili??
My baby Vaislay soulmate ndo hii maana yake
U can share ur feeling no matter ni mzee or not
Una mambo wewe, mimi nimeleta maana tu maana kuna waliouliza, sasa hayo ya your babe duh! Milango imebana nashindwa kupita nisaidie!