Soulmate

Soulmate

Mke wetu bhana... Tatizo hujui navofeligi kwenye hizi harakati.
Hii michuchu ya dot com inabana sana vitu iliyopewa bure. Asa mi na hawa mabinti wanaosoma, hela ya kuinunulia vitz ntaitoa wapi?

Ngoja nirudishe harakati kwa oldiez are goodiez...
acha ushamba wewe!
ushawahi ona nyeupe inachanganywa na nyeupe?
utaongeza ujazo tu shemeji
changanya nyeusi na nyeupe upate kijivu!
oh!
 
Soulmate wangu yupo JF lakini sijui ID yake....
Babylov
 
Nashangaa kuitwa niitwe mm..
Kuitikia uitikie wewe
Unataka kuona anachofanya Mentor ...

Best unanitisha

Nashangaa mimi hajawahi kuniita....wivu umenishikaje sasa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
My baby Vaislay soulmate ndo hii maana yake
U can share ur feeling no matter ni mzee or not

aiseee.....speechless....never forget my soulmate..natamani dunia isiwe na mwisho ili tuendelee kuwepo..
 
Last edited by a moderator:
Wajukuu wa dot com labda
Namheshimu mkeo otherwise ningekuonyesha adabu
Kwi kwi kwi babuuuuu

.........Ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kufuli.......:llama::llama::llama:
 
.........Ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kufuli.......:llama::llama::llama:

Sure itakuwa ngumu kama hujui kitu ni vugumu kupata solution
Tambua kila kifuli ina funguo zake na haziingiliani..

Kazi kwako.
 
Back
Top Bottom