Sorry wanaJF: Nahitaji kuandaa 3M NaOH kwa ajili ya shughuli fulani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sorry wanaJF: Nahitaji kuandaa 3M NaOH kwa ajili ya shughuli fulani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mbayuwayu2008, Jul 17, 2011.

 1. M

  Mbayuwayu2008 Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba mnisaidie wanaJF kuweza kuandaa hii soln ya (1) 3M NaOH in 500ml, (2) 0.5% Tween-20 from 1%Tween-20
  Thanx
   
 2. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tumia njia ifuatayo, utafanikiwa kupata unachokitahitaji:
  (1) 3M NaOH
  Molarity of NaOH in (M) or (Mol/L) X Molar mass of NaOH (g/mol)= Conc. of NaOH in g/L
  3Mol/L X 40g/mol= xg/0.5L
  x= (120X0.5)g
  = 60g
  Kwa hiyo ni kusema pima gramu 60 za NaOH na uzichanganye na nusu lita ya maji (distilled water); utakuwa umepata 3M NaOH

  (2) C1V1=C2V2
  1% X V1= (0.5%) X kiasi cha ujazo unaohitajika kuandaa (V2)
  V1= 0.5% X V2/1% e.g V2= 500ml
  = 0.5% X 500ml/1%
  = 250ml
  Kwa hiyo pima 250ml ya 1% Tween-20 na uongeze ujazo hadi kufikia 500ml kwa kutumia maji (distilled water) i.e 250ml 1% Tween 20 + 250ml za maji.

  Kila la kheri
   
 3. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu na profession zao, duh!
   
 4. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Sio kazi ngumu, chemistry ya A level inatosha...
   
 5. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hii 120 ni nini kaka na 1% imetoka wapi maelezo please
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Shughuli fulani? Nitarudi baadaye.....
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Safi sana mkuu

   
 8. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna jukwa la Tech,gadges &Science,next time nenda huko sisi hapa tuna deal na siasa tu...! Yaani unategemea aliyesoma HKL achangie nini sasa hapa?
   
 9. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Jukwaa hili jamani, duh! Kama hii ndo siasa tumekwisha!
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mimi niko ungwinini huku,so hapo naona nyota 2.
   
 11. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  The GLP (good laboratory practice).

  Chukua 500mL volumetric flask, weka DI (De-Ionized) water up to meniscus. Dumbukiza magnetic bar na uanze kuizungusha juu ya stirring plate. Chukua weighing boat, weka kwenye analytical balance, halafu tear the balance. Pima 60g NaOH into the boat, mwaga NaOH flask and tap the boat. (The Math imeshanyesha na waungwana.) Shake the flask by inventing it 5 times. Rudisha juu ya stirrer i mix mpaka uone a clear solution, and a couple of more minutes. Pima the emptied boat, ili ujue ni kiasi gani cha NaOH exactly kiliingia.

  Calculate the actual molarity based on the measured NaOH iliyoingia, pamoja na Molarity iliyowekwa kwenye chupa, sio 40g/M, hiyo ni theorty. Na urekodi. Hiyo exact molarity ndio ui submit, sio 3M NaOH, unaweza usipate exactly 3.00M NaOH.

  Rekodi ulichokifanya mwanzo mwisho kwenye daftari la lab, ukijumuisha calibration and validation dates za balance pamoja na mashine ya water dionization, pia rekodi expiration date ya NaOH na chemical identification number ambayo inakua assigned kwa kila chupa ndani ya Lab, kama ni GLP au GMP lab.

  +++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

  Tween-20 is a solution, so going from 1% to 0.5% is a 1-to-2 dilution. So, measure 250ml of 1%Tween into measuring cylinder, add it into a 50ml flask. Fill the 50ml flask to meniscus with DI water. Invert 5 times, stir on a stirring plate. Record the validation and calibration date of the dionization equipment, and the expiration date of the Tween-20, plus the chemical identification nummber of the Tween from the bottle.

  Rekodi tarehe ya tukio. Bandika label kwenye flask inayoonyesha tarehe uliyotayarisha, initials zako, expiration date na concetration ya solution.


  Note: Katika mazingira halisi kwenye maabara isiyokuwa ya ki-academia utatakiwa kutumia validated SOP (Standard Operation Procedure) inayoeleza mchakato mzima wa kutengeneza chemical mbali mbali, hata kama unajua. Hii ya kujitungia ni mazingira ya kishule shule. Hivyo, ukiulizwa swali kama hilo kwenye kitu kama interview, anza kwa kusema, nitaomba validated SOP kwa aliyenituma kazi, kama ipo.
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hata sina hamu na haya makemia! sijui nilikuwa napitaje,duh! im glad kila mtu ana kazi yake,ukitupa lab huko wanajiju! hongereni vijana!
   
 13. T

  The Priest JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Thats why i love science,haina chai wala ungwini.
   
 14. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  mi nilijua anaongelea NOAH gari.duh!kumbe hajachapia ni naOH.ok basi.ntarudi baadae,ngoja nikawaleteeni catalyst ya kuincrease the rate of your chemical reaction.mia
   
 15. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  120 imetokana kwa kuzidisha 3M X 40g/M. Na 1%Tween-20 ni conc (v/v) ya stock soln (soln uliyonayo stoo). Lakini wewe unahitaji soln ya 0.5% kutoka hiyo uliyonayo stoo.

  Actually, Anheuser amejitahidi kuonyesha kivitendo lkn kazi si rahisi kiasi hicho lazima ujue unatafuteje kiasi halisi kwa hiyo ni vizuri ukajua hizo formula zitakusaidia.

  Pili, ndugu yangu Anheuser kwenye kupima 250ml za 1% Tween-20 huzimimini kwenye 50ml flask bali 500ml flask. Nadhani utakuwa hujaangalia vizuri.

  Good. Asante.
   
Loading...