Sorry d nilikua nachat na rafiki yangu

Sorry d nilikua nachat na rafiki yangu

Hollywood wenyewe wamekalishwa chini tena na hapo translation ni ya maandishi tu. Hakuna zaidi ya South Korea kwa sasa.
Hivi mkuu kwenye zile movie zao za vita wale watu walivyokua wengi ni kweli au???
 
Miwaya ile inakunyemelea,hapo lazima mpeane ngoma,tulia na wife jombaa,hakuna kipya zote zafanana..
 
Hivi mkuu kwenye zile movie zao za vita wale watu walivyokua wengi ni kweli au???

Movie haiwezi kuwa na uhalisia kwa 100% na hapo ndipo fani za watu zinapoheshimika kila mtu akika kwenye section ndio unapata full.

Kuna vipindi huwa wanarusha hollywood wakati wanaandaa movie zao hata sehemu ambazo walikosea wanaonesha utajifunza mengi, sina hakika ila ni kitu kama back stage.
 
sasa kaka kama ni mchepuko wako then why una wivu?mim nlidhani ni mke wako.Kama mchepuko no prob na hapo usidanganywe mzee yan wewe haumsugui kama huyo anaezuga ni frnd wake anavomsugua.Pole sana kaka
 
kabisa .....indian movies nazipenda sana......

Hapo ndipo kuna love, ile insyoitwa true love sis..!

Nakudediketia 3 ------ kwa usiku wa leo! its very funny n educative.
 
Msg zenye maneno matamu mara nyingi inakuwa ni uongo? Huyo mchepuko wako alikuwa anampaka mafuta kwa mgongo wa chupa mtu wake
 
Naicopy kama ilivyo mnishauri before sijamjibu hizi sms za mchepuko wangu
Yaani d am so happy jana ulinifurahisha sana, sijawahi kusuguliwa hivyo yani huwezi amini hapa nilipo nahisi bado maumivu ya utamu wako nakuomba usimpe mtu utamu wangu huo miss u,

Ah sorry d nilikua nachat na rafiki yangu wa kike tulisoma nae huwa tunataniana hivyo nikakosea no ikaja kwako am sorry bby usinifikirie vibaya nakupenda, utarudi lini nimekumiss.

Mpz nijibu nijue kama umenielewa, please usinielewe vibaya darl nakupenda ukija nitakupa no yake uongee nae.

Hizi ni baadhi ya sms ambazo ninatumiwa na mchepuko wangu nilioupenda na kuuamini nashindwa nimjibu nini coz nimerejea leo asubuhi toka moro, naamini naibiwa nipeni ushauri nimjibu au niendelee kumchunia.

Ukimsamehe wewe Bweg€
 
haha yani nyie mchepukiane huko mje tuzngua apa... chagua umfanye nn c mchepuko or unatafta xcuse ya kuendelea kuchepukiwa.
 
Mh ngumu kutafuna na ni chungu kumeza nafikiria bado ndo sababu ya kutafuta ushauri wenu.

kweli ni ngumu.kama unampa kila ki2 na amefaanya ivo bas hana shukran achaa nae utapata mwingine
 
Pole sana .kuu, ila ukweli no kwamba unatakiwa kujua kuwa ni vigumu sana kuwa peke yako kwa mchepuko huku akijua dhahiri kuwa wewe una mke, atakachofanya ni kuficha ili usijue, haiwezekani binti mwenye akili timamu akaridhika kuwa na mume wa mtu huku akijua fika kuwa hamna future baina yenu. Nakushauri baki njia kuu rafiki mkeo yupo na wewe kwakua anakupenda ndo maana hata akawaacha wazazi wake ili aishi na wewe, kwanini ukae unaumia na mtu asiye mkeo? Utaanza kumpa mkeo shida ya kukuliwaza kwa kukoseshwa raha na mchepuko. Hata hivyo magonjwa ni mengi mno, kuna watumishi wa Mungu wengi sana wanao ombea ndoa ili ziwe na amani na mafanikio, sijawahi ona ama kusikia mtu akiombea michepuko. Mungu anaangalia sana tasisi hii muhimu ya ndoa, maana ikisimama vizuri shetani huchukia sana maana ndoa ni kanisa dogo. Mungu akusaidie na akupe nguvu ya kuishinda tamaa. Mchepuko kwako ni njia kuu kwa mwenzako, tafakari chukua hatua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom