Hahahaaa!Mura tata kana si unajua alishanichanganya na mimi nikachanganyika.
Ahsante ICHANA but nilikua nimependa yeye mpaka kwa roho.
True kabisa,rafu naiona wazi nashindwa nitoe kadi ya njano au nyekundu ama penalt.
kabisa .....indian movies nazipenda sana......
Ukitaka umuumize zaidi usijibu chochote kaa kimya daima
Si ndio kuvuja kwa pakacha? Unamsusia fisi bucha?
Njia kuu hatutoki ila kuchepuka hakuepukiki hasa ukiwa unashiba nguna sawasawa sio kushindia viepe .
Mambo yote ipo South Korea siku hizi.
Naicopy kama ilivyo
mnishauri before sijamjibu hizi sms za mchepuko wangu
Yaani d am so happy jana ulinifurahisha sana, sijawahi kusuguliwa hivyo
yani huwezi amini hapa nilipo nahisi bado maumivu ya utamu wako nakuomba
usimpe mtu utamu wangu huo miss u,
Ah sorry d nilikua nachat na rafiki yangu wa kike tulisoma nae huwa
tunataniana hivyo nikakosea no ikaja kwako am sorry bby usinifikirie
vibaya nakupenda, utarudi lini nimekumiss.
Mpz nijibu nijue kama umenielewa, please usinielewe vibaya darl
nakupenda ukija nitakupa no yake uongee nae.
Hizi ni baadhi ya sms ambazo ninatumiwa na mchepuko wangu nilioupenda na
kuuamini nashindwa nimjibu nini coz nimerejea leo asubuhi toka moro,
naamini naibiwa nipeni ushauri nimjibu au niendelee kumchunia.
tarime moja mambo? nakuomba usitoe red card kama ni mara ya kwanza ila akwambie ukweli na umsamehe
Umeona eeh,mimi nashangaa watu bado hawajajua hili,mimi nikipata series mpya chakula hakipiti kabisa,Koreans wako vizuri bwanaMambo yote ipo South Korea siku hizi.
hizo mdogo wangu ndo anakesha nazo.....anasema nzuri ila sijazifwatilia.....
hizo mdogo wangu ndo anakesha nazo.....anasema nzuri ila sijazifwatilia.....
Umeona eeh,mimi nashangaa watu bado hawajajua hili,mimi nikipata series mpya chakula hakipiti kabisa,Koreans wako vizuri bwana
Ni nzuri sana,nakuonea huruma ukijaribu utakua addicted utashindwa kufanya shughuli zako
naona mdogo wangu jinsi alivyo.....yani anakesha na kukesha......ndiyo maana sitaki hata kuangalia.....