Sorry d nilikua nachat na rafiki yangu

Sorry d nilikua nachat na rafiki yangu

Hovyoooooooooòooo

Unauonea wivu mchepuko????

Hovyooo hovyo hovyo kabisa.....

Kwanza mnachepukiana tu

Pili jua kuna anayemsugua mpaka anakojoa....

Tatu ijue nafasi yako kwa mchepuko...

Mwisho ukimfanya wa akiba atakugeuza wa dharula

Take a seat.........

Huna haja ya wivu wala mzuka tulia
 
Naicopy kama ilivyo mnishauri before sijamjibu hizi sms za mchepuko wangu
Yaani d am so happy jana ulinifurahisha sana, sijawahi kusuguliwa hivyo yani huwezi amini hapa nilipo nahisi bado maumivu ya utamu wako nakuomba usimpe mtu utamu wangu huo miss u,

Ah sorry d nilikua nachat na rafiki yangu wa kike tulisoma nae huwa tunataniana hivyo nikakosea no ikaja kwako am sorry bby usinifikirie vibaya nakupenda, utarudi lini nimekumiss.

Mpz nijibu nijue kama umenielewa, please usinielewe vibaya darl nakupenda ukija nitakupa no yake uongee nae.

Hizi ni baadhi ya sms ambazo ninatumiwa na mchepuko wangu nilioupenda na kuuamini nashindwa nimjibu nini coz nimerejea leo asubuhi toka moro, naamini naibiwa nipeni ushauri nimjibu au niendelee kumchunia.

Mkuu huyo dawa yake we muwekee mspy!then anza kumspy
 
Dah,natamani angekua rafiki yangu....hata hivyo jaribu na hivyo una company raha saaana

tatizo mim nimebanwa kushinda yeye.....ila ngoja nitajipanga ili nianze kufwatilia.....
 
Hapo ndipo kuna love, ile insyoitwa true love sis..!

Nakudediketia 3 ------ kwa usiku wa leo! its very funny n educative.

tafuta movie inaitwa baabul.....ya kihindi.....
 
Haujui kusugua ndio maana we si unaona hapo anasifia kusuguliwa mpaka maumivu ya utamu anayakumbuka. Na huu kaka sio utani wakati uko moro mwenzako alikuwa anasugua, eeh tata pole sana
 
Kwani una plan gani na yeye ya baadae? Au ulidhani ni wewe peke yako hakuna wakushika cheo chako eeh? Kama ulivyo muona yeye mchepuko na yeye kakufanya babu jinga, Kama una mkeo tulia nae jua kua hujawa na hutokua mwanamme Kwa mchepuko... Masifa wanasifiwa wengine hodari wa KUSUGUA sijui anaona wewe una mpapasaa....
 
Ahsante mkuu nimekusoma.
 
we endelea kunyamaza na kuchepuka uache.... ila kama unataka kuwa mchepuko[SUP]2[/SUP] endelea mana atakupanga vizuri zaid ujione peke yako wewe na dereva kumbe nyuma abiria wamejaa mpaka wamebanana.....
 
Naicopy kama ilivyo mnishauri before sijamjibu hizi sms za mchepuko wangu
Yaani d am so happy jana ulinifurahisha sana, sijawahi kusuguliwa hivyo yani huwezi amini hapa nilipo nahisi bado maumivu ya utamu wako nakuomba usimpe mtu utamu wangu huo miss u,

Ah sorry d nilikua nachat na rafiki yangu wa kike tulisoma nae huwa tunataniana hivyo nikakosea no ikaja kwako am sorry bby usinifikirie vibaya nakupenda, utarudi lini nimekumiss.

Mpz nijibu nijue kama umenielewa, please usinielewe vibaya darl nakupenda ukija nitakupa no yake uongee nae.

Hizi ni baadhi ya sms ambazo ninatumiwa na mchepuko wangu nilioupenda na kuuamini nashindwa nimjibu nini coz nimerejea leo asubuhi toka moro, naamini naibiwa nipeni ushauri nimjibu au niendelee kumchunia.

yaani kiongozi hukutakiwa kuomba ushauri hapo ni kushusha tu windows 7 na weka windows 8 huyo hakufai mkuu!!!
 
Mh nionavyo mie,
 
Attachments

  • 1411399382040.jpg
    1411399382040.jpg
    43.4 KB · Views: 148
Back
Top Bottom