Sorry d nilikua nachat na rafiki yangu

Sorry d nilikua nachat na rafiki yangu

Mchepuko ndani ya mchepuko je kweli tuko salama?

MUNGU tuokoe na janga hili la michepuko maana tumesahau ndoa zetu huku tukiwaza michepuko yetu
 
Naicopy kama ilivyo mnishauri before sijamjibu hizi sms za mchepuko wangu
Yaani d am so happy jana ulinifurahisha sana, sijawahi kusuguliwa hivyo yani huwezi amini hapa nilipo nahisi bado maumivu ya utamu wako nakuomba usimpe mtu utamu wangu huo miss u,

Ah sorry d nilikua nachat na rafiki yangu wa kike tulisoma nae huwa tunataniana hivyo nikakosea no ikaja kwako am sorry bby usinifikirie vibaya nakupenda, utarudi lini nimekumiss.

Mpz nijibu nijue kama umenielewa, please usinielewe vibaya darl nakupenda ukija nitakupa no yake uongee nae.

Hizi ni baadhi ya sms ambazo ninatumiwa na mchepuko wangu nilioupenda na kuuamini nashindwa nimjibu nini coz nimerejea leo asubuhi toka moro, naamini naibiwa nipeni ushauri nimjibu au niendelee kumchunia.

All goes around come back around.
 
As long as ni mchepuko sioni tatizo hapo. Bila shaka alikuwa anamtumia njia kuu yake.
 
Michepuo siku hizi huwa yenyewe inafumua 0713 wewe unacheza na korongo mbele,ndio maana mchepuo unapewa hizo sifa chakufanya na wewe tatua marinda yote then uwambie good bye crazy woman.
 
Mimi nimeelewa kwamba huo mchepuko wako ni lesbian na anasagwa na huyo rafiki yake walosoma pamoja.Mwambie amlete huyo rafiki mfanye threesome ya nguvu mpate raha.
 
Naicopy kama ilivyo mnishauri before sijamjibu hizi sms za mchepuko wangu
Yaani d am so happy jana ulinifurahisha sana, sijawahi kusuguliwa hivyo yani huwezi amini hapa nilipo nahisi bado maumivu ya utamu wako nakuomba usimpe mtu utamu wangu huo miss u,

Ah sorry d nilikua nachat na rafiki yangu wa kike tulisoma nae huwa tunataniana hivyo nikakosea no ikaja kwako am sorry bby usinifikirie vibaya nakupenda, utarudi lini nimekumiss.

Mpz nijibu nijue kama umenielewa, please usinielewe vibaya darl nakupenda ukija nitakupa no yake uongee nae.

Hizi ni baadhi ya sms ambazo ninatumiwa na mchepuko wangu nilioupenda na kuuamini nashindwa nimjibu nini coz nimerejea leo asubuhi toka moro, naamini naibiwa nipeni ushauri nimjibu au niendelee kumchunia.
mkuu mchepuko wako..mke wa mwingine...mke wako mchepuko wa mwingine.kuchapiwa ni siri ya ndani
 
Back
Top Bottom