KERO Songea: Changamoto ya maji Eneo la Mkuzo imekuwa kero, mamlaka ya maji inafungua usiku saa 9 na kukata saa 11 alfajiri

KERO Songea: Changamoto ya maji Eneo la Mkuzo imekuwa kero, mamlaka ya maji inafungua usiku saa 9 na kukata saa 11 alfajiri

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea.

Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali inayowaathiri wananchi wengi kushindwa kupata huduma kwa wakati unaofaa.

Ni vyema wakajirekebisha na kuboresha ratiba ya usambazaji wa maji ili kuhakikisha wananchi wanapata maji ya kutosha na kwa muda unaoeleweka.
 
Sio Mkuzo tyuu, ni Kata ya Msamala yote.
Maji ni shida sana
 
Back
Top Bottom