Somo ulilolipenda sana darasani

Somo ulilolipenda sana darasani

asee mm ngeli nilikuwa naipenda balaa kutoka shule ya msingi..huwezi amini nilihitimu shule mwaka 1997 tena huko kjjn interior lakini nilikuwa naweza kugonga ung'eng'e ...baada ya kuhitimu hakuna aliyefaulu darasani kwetu nikaingia kitaa na umombo wangu nikawa machinga huku natembea na mivitabu yakimombo....nilikaa miaka 7nikaamua kurudi shule ...thank god sasa hivi nina bachelor of with ed....linguistics& literature in engl as teaching subjects
 
Binafsi mie nilikuwa mzuri wa Biology, nilifaulu sana na kulead in class ila cha kushangaza, baada ya form six nikaenda kusoma uchumi in which sikufanya vizuri kabisa darasani. Nilipomaliza chuo nilipata kazi ila still kichwani Biology iliniita kila wakati mpaka nilipoamua kuirudia and now ninafuraha ya maisha na ni best scientist kwenye kada ninayofanyia kazi.

Nawashauri hata wengine, somo unalolifeel sana ndilo litakalokutoa maishani. Achana na kelele zikuzungukazo. Mf, mtu uko vzr kiswahili ila unang'ang'ania Physics mwishoe unakula F na kubaki unalialia. Si kila aliye na maisha mazuri kasoma masomo unayofikiria ndiyo leading. Wazazi tujifunze kuwashauri wanetu na pia kuwasoma nini wapendacho ili mbeleni kiwasaidie kuwa na furaha ya kazi zao. Si kila anayepata mshahara mkubwa ana furaha kazini.

Kazi nzuri ni ile uifanyayo toka ndani kwa furaha.
Je wewe ulipenda na kuliwezea somo gani?
Jamni ENGINEERING SCIENCE/PHYSICS +MATHEMATICS they are still flowing in my VEINS
 
Commerce &bookkeeping lkn necta nikafell bookkeeping ndo ikawa mwisho wake, A level nikasoma HGK nikaendelea na ushenzi ushenzi sasa hv ni mjasiriamali mzuri sitaki kuajiriwa wala nini, kiukweli napenda biashara hadi kutapeli, nikiwekwa mhasibu kwenye kikundi au taasisi yoyote lazima nipige mkwanja na sijawahi kushikwa popote nilikopita, yaani kupindisha mahesabu Vila kujulikana ndo zangu, wakati somo lenyewe nililisoma hadi form four tu daaah
wewe dada muogope mungu acha dhuluma
 
dah nilikuwa napenda maths vibaya sana pind nipo o-level nanilikuwa mbabe wake ilifikia kipind mwalimu asipoingia namfuata kumkumbusha kuwa ana kipindi kwakua asilimia nyingi ya wanawafunz niliosoma nao walikuwa hawalipendi waliniona nuksi sana
 
Mkuu tuko pamoja kwa kweli ..napenda sana somo la History
Mm olevel nlkuag nafauru sana history yaan mitihan ya ndan nlpataga above B tu lkn necta ya fom 4 nkapata C na advance nkaenda sayansi na nkafauru lkn still naipendag saana history
 
Kwa hiyo unajisifia kuiba sio.
Commerce &bookkeeping lkn necta nikafell bookkeeping ndo ikawa mwisho wake, A level nikasoma HGK nikaendelea na ushenzi ushenzi sasa hv ni mjasiriamali mzuri sitaki kuajiriwa wala nini, kiukweli napenda biashara hadi kutapeli, nikiwekwa mhasibu kwenye kikundi au taasisi yoyote lazima nipige mkwanja na sijawahi kushikwa popote nilikopita, yaani kupindisha mahesabu Vila kujulikana ndo zangu, wakati somo lenyewe nililisoma hadi form four tu daaah
 
Mimi nilipenda sana hesabu na nilikuwa mtabe O'level, na sijutii kwa professional niliyonayo inalipa. Pamoja na kuwa nilikuwa naweza biology (nilipata A kwa A'level) ila baadaye nilirudia wito wangu wa hesabu ktk chaguzi za kozi chuo.
whats your profession madam? are you a dr? an engineer??
 
Nilikuwa napenda sana kipindi cha mapumnziko.. Kengere ikilia tu wakwanza kutoka darasani
 
Napenda sana Mathematics tena kutoka moyon kabisaa, ndoto zangu ilikua baada ya kumaliza form4 niende DIT kusoma Mec engineering lakini mwisho wa siku Math nikapata B, phy C, Chem D (CSEE 2011). "D" ya chemistry ikasababisha nishindwe kuchaguliwa DIT nikapelekwa Advance PCM. Advance sikufanya vizuri sana ila kwasasa nipo chuo flani nasoma bachelor of education(science) mwezi wakumi mwaka huu naingia mwaka watatu. Lakini naamini ipo siku moja nitakuja kusoma Automobile Engineering hata kwa level ya diploma(vigezo vya kusoma degree vimebadilika). Yani nasoma ualimu huku sina furah, kwani nahisi Mathematics ndio kilakitu kwangu
hamna kitu kibaya kama hiki!! ungekua mwaka wa kwanza ningekushauri uache mapema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom