brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Vyeti vyenyewe nilifoji so sikumbuki hata somo gani nililokuwa naliweza.Nimeshatumbuliwa sasa hivi nipo zangu nacheza bao uswahilini.

Vyeti vyenyewe nilifoji so sikumbuki hata somo gani nililokuwa naliweza.Nimeshatumbuliwa sasa hivi nipo zangu nacheza bao uswahilini.

Binafsi mie nilikuwa mzuri wa Biology, nilifaulu sana na kulead in class ila cha kushangaza, baada ya form six nikaenda kusoma uchumi in which sikufanya vizuri kabisa darasani. Nilipomaliza chuo nilipata kazi ila still kichwani Biology iliniita kila wakati mpaka nilipoamua kuirudia and now ninafuraha ya maisha na ni best scientist kwenye kada ninayofanyia kazi.
Nawashauri hata wengine, somo unalolifeel sana ndilo litakalokutoa maishani. Achana na kelele zikuzungukazo. Mf, mtu uko vzr kiswahili ila unang'ang'ania Physics mwishoe unakula F na kubaki unalialia. Si kila aliye na maisha mazuri kasoma masomo unayofikiria ndiyo leading. Wazazi tujifunze kuwashauri wanetu na pia kuwasoma nini wapendacho ili mbeleni kiwasaidie kuwa na furaha ya kazi zao. Si kila anayepata mshahara mkubwa ana furaha kazini.
Kazi nzuri ni ile uifanyayo toka ndani kwa furaha.
Je wewe ulipenda na kuliwezea somo gani?
Commerce &bookkeeping lkn necta nikafell bookkeeping ndo ikawa mwisho wake, A level nikasoma HGK nikaendelea na ushenzi ushenzi sasa hv ni mjasiriamali mzuri sitaki kuajiriwa wala nini, kiukweli napenda biashara hadi kutapeli, nikiwekwa mhasibu kwenye kikundi au taasisi yoyote lazima nipige mkwanja na sijawahi kushikwa popote nilikopita, yaani kupindisha mahesabu Vila kujulikana ndo zangu, wakati somo lenyewe nililisoma hadi form four tu daaah
Chemistry na English, lol! lakini sikuwa najua nikikomaa na chemistry ntaishia wapi mwisho wa siku nimejikuta kwa medical field huku mi bilikuwa napenda ma chemical rxn, partition etc! sikuwa naiweza sana biology lakini ndiyo inanipa ugali kwa sasa!
Napenda sana engineering scienceEngineering science na Building construction
Kitambo sana Tanga tech moja hio...ni mengi tsana hahaEngineering science na Building construction
Mi Iyunga techKitambo sana Tanga tech moja hio...ni mengi tsana haha