Somo letu: Wajua kwanini namba 13 ni namba ya mkosi? Je, umezaliwa tarehe 13?

Kinyota hakunaga namba 13 coz 13 is 1 plus 3 which is equal to 4 ni namba tukufu katika masuala ya kinyota na tiba za kiganga kwa sababu inawakilisha pande kuu nne za dunia
 
Mwanzilishi wa hoteli alikufa akiwa chumba namba 13.

Kwa hiyo ili kumuenzi, chumba chake kikawa hakitumiki, na hivyo, wanaofanya huduma za nyumba za kulala wageni hawaweki namba 13 maana haitumiki
Sio kweli
 
Kuna sababu kama 6 kuhusu namba 13.

Ni sababu zilizotokea zaidi wakati wa mchakato mzima wa kukamatwa,kuteswa na kufufuka kwa Yesu Kristo

Pia zile dhihaka za mara 13 kwa Mungu enzi za Musa

Muda ukiwepo ntazieleza kiundani ila huu uwoga ulianza ijumaa ya tarehe 13, mwaka wa 1443 kama sijakosea.

Zimebase ktk Biblia

......,...........
 
Leo’s born on August 13th are under the influence of Sun, ruler of the zodiac sign and Uranus, governor of the date. Due to this, the personality traits and characteristic features of these individuals are varied and unique. While the Sun brings about independence, confidence and warmth in their personality, the planet Uranus adds adaptibility, steadfastness and generosity. People with this birthdate usually work hard to achieve their goals and are self-sufficent. They do not need the opinion or help of others but are always there when anyone is in need. They seek for perfection in whatever they do. This can be a cause of worry as sometimes it can work againt their favor. August 13th individuals can be moody, temperamental, oversentive and insecure
Fid Q amezaliwa August 13.
 
Mm nimezaliwa 13/November
Kikwete Mstaafu Rais 13
Maguful pia janga japo Ila katoboa

Uelewa tu hapo
 
Mara Nyingine number 13 watu huichukulia kama namba ya mkosi ,

Lakin tunajiuliza sana kwanini watu huchukulia namba 13 kama namba ya mkosi, yanayosemwa yanamaana kubwa sana ndo maana leo hii katika
1.Hotel kubwa za kimataifa ukiangalia vyumba vyote kwa namba ukifika namba 12 wanairuka namba 13 wanaandika chumba kifuatacho namba 14, nimefanya research hii kwa muda mrefu sana na kwa umakini zaid, nimegundua hotel kubwa tena zinazoheshimika kimaiafa hawana chumba namba 13,

2. Kwenda ndege , hakuna sit namba 13 ukifika kumi na mbili wanaruka kwenda 14, ni ndege kubwa sana zaid ya bomberdier, namaanisha kwa wale mnaosafiri Mara kwa Mara chunguza kwenye ndege kubwa kama Emirates, Fly Dubai, Etihad, KLM, Qatar airways, British airways na nyinginezo hawana namba 13, bali wana 12 na 14, tu

3. Ijumaa ambayo tarehe yake ni 13 huwa ni siku ambayo watu wengi hawapangi mipango yao kabisa kufanya biashara au safari usitisha mpaka siku inayofuata,

4. Waliozaliwa tarehe 13 Mara nyingi huwa inakuwa ngumu kutoka kimaisha mpaka watumie nguvu kubwa sana kuweza kufika malengo yao, na saa nyingine hukusanya mtaji na kuibiwa, huchikiwa, usingiziwa kila Mara na huonekana hawana maana ndani ya jamii, inahitajika nguvu ya ziada kuyakwepa

KWANINI HASA NAMBA 13 HUSEMEKANA NI NAMBA YA MKOSI?? NA ILIANZAJE

Kwanza watu wanaoendekeza kuogopa namba 13 wana kitu kinaitwa triskaidekaphobia yaan waoga wa namba 13

Namba au mkosi wa namba 13 uhusishwa na ukristo kwa maana kwamba namba 13 katika biblia ina maana yake,
1. Mlo wa mwisho wa yesu alikuwa na wanafunzi wake 12 lakin yule wa 13 ambaye hakuwepo ni Yuda aliyemsaliti , kwahiyo inaonekana usaliti wa huyo mtu wa 13 ulipelekea Yesu kuteseka mno,,

2.Katika wathesalonike inaonesha kwamba ishara ya shetani imejitokeza Mara 13

3.Ilithibitika kwamba kuna tabia au sifa 13 za watu wafuasi wa Shetani soma warumi (1:28-32)

3.Siku ya 13 ya mwezi wa kwanza Haman alisaini makubaliano ya kuwa wayaudi wanapaswa kuuwawa siku ya 13 ya mwezi wa 12 (Esther 3:7 - 9).

4.Kuanguswa na kusurubiwa kwa yeriko ilitiwa muhuri na namba 13

5.Mfalme Suleiman alitumia miaka 7 akijenga mnara wa Yerusalemu, lakin cha kushangaza alitumia miaka 13 kwa tabu kujenga nyumbani kwake

(1wafalme 6:38). Na (1wafalme 7:1)!

6.Kuna njaa 13 zilitajwa kwenye biblia
(Mwanzo 12:10, 26:1, 41:54; Ruthu 1:1; 2Samuel 21:1; 1wafalme 18:1; 2wafalme 4:38, 7:4, 25:3; Nehemiah 5:3; yeremia 14:1; Luke 15:14 na matendo ya mitume 11:28.

7.Ishmael, mtoto wa kwanza wa Abraham (kwa Hagar), alitahiriwa(kuondoa uchafu kuwa mwana wa mungu kamili) akiwa na miaka 13 (mwanzo 17:25)

NAMBA 13 NI YA KUANGALIA KWA MAKINI

Britannica
Hii thread kwanini isiunganishwe na hii?
Moderator Invisible JamiiForums
 
Ilikuwa zamani ila kwa sasa namba hiyo ipo gest nyingi tu
1560570761491.jpeg
 
Leo alizaliwa tarehe 13 Agosti ni chini ya ushawishi wa Jua, mtawala wa ishara ya zodiac na Uranus, gavana wa tarehe hiyo.

Kutokana na hili, sifa za tabia na sifa za watu hawa ni tofauti na za pekee.

Wakati Jua huleta juu ya uhuru, kujiamini na joto katika utu wao, Uranus sayari inaongeza kutofautiana, ushikamanifu na ukarimu.

Watu wanaozaliwa mara nyingi hufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo yao na wanajikuta.

Hawana haja ya maoni au msaada wa wengine lakini daima humo pale mtu yeyote anahitaji. Wanatafuta ukamilifu katika chochote wanachofanya. Hii inaweza kuwa sababu ya wasiwasi kama wakati mwingine inaweza kufanya kazi kwa urahisi.

Watu wa Agosti 13 wanaweza kuwa na nguvu, wenye nguvu, wenye nguvu zaidi na wasio na uhakika

👆 😂 from google translate.
👇
Leo’s born on August 13th are under the influence of Sun, ruler of the zodiac sign and Uranus, governor of the date. Due to this, the personality traits and characteristic features of these individuals are varied and unique. While the Sun brings about independence, confidence and warmth in their personality, the planet Uranus adds adaptibility, steadfastness and generosity. People with this birthdate usually work hard to achieve their goals and are self-sufficent. They do not need the opinion or help of others but are always there when anyone is in need. They seek for perfection in whatever they do. This can be a cause of worry as sometimes it can work againt their favor. August 13th individuals can be moody, temperamental, oversentive and insecure
 
Back
Top Bottom