Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,638
- 697,929
Sisi huku ni poa tu hatuna uzingativu wa kivile kwenye umakini wa namba na maana zake lakini wenzetu wako sensitive sana kwakuwa wanaamini ulimwengu unaendeshwa na namba (secret codes). Wao wanaweza kuahirisha tukio muhimu kwakuwa tu wakipiga hesabu ya namba ama wakiangalia tarehe itaangua isiyofaa kiroho
Michael Jackson aliwahi kuomba madaktari wafanye wawezavyo mwanae asizaliwe tarehe 13 kama vipimo vilivyokuwa vinaonesha
Hotel zote kubwa ulimwenguni hazina chumba no 13, hata lift zake kwenye majengo marefu.. Kwa maana ya kwamba hakuna floor no 13.. Ukichunguza utakuta ni 12 halafu ifuatayo ni 14..
Hata mashirika mengi ya ndege! Ndege zao hazina siti no 13. Bila kusahau hospital kubwa duniani ni ngumu kukuta chumba no 13
Je sababu ninini no 13 kuogopeka kiasi hiki? Wenzetu wao wanaamini number hiyo ni namba ya mikosi,mabalaa na hata kifo.. Namba iliyojaa nuksi na isiyo na bahati
.Kwa imani ya kikristo ni idadi ya wanafunzi walioshiriki meza ya Bwana kabla Yesu hajakamatwa walikuwa 12 na wa 12 alikuwa ni Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu.. Jumla watu 13 pamoja na Kristo
.Kwenye kadi za utabiri za tarot no 13 ni kadi ya kifo, hivyo ikikuangukia hiyo kadi kupatwa na jambo lolote baya ni kitu kisichoshindikana kabisa
. Kwenye vizimba vya kunyongea zamani nchi kama marekani vilikuwa na ngazi 13 kabla ya kufikia kitanzi
.Kamba ya kitanzi cha kunyongea ina mizunguko 13 ili kuweza kutengeneza kitanzi imara
Haya na mengine mengi yameifanya no 13 kuwa namba tishio kwa wenzetu huku kukiwa na mifano hai kibao na documentary za kutosha sana!
Kwa wachina ni namba 4.. Sidhani kama sisi tunayo
Friday 13th siku mbaya inayoogopwa mno na Wazungu Friday 13th siku mbaya inayoogopwa mno na Wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app