Somo letu: Wajua kwanini namba 13 ni namba ya mkosi? Je, umezaliwa tarehe 13?

Shocking kwa hiyo inaogopwa na mashetani ndo maana haiwekwi kwenye nyumba za wageni na mahoteli?
 
Hapo kweye wanafunzi wa Yesu ndiyo kumethibitisha kuwa ulichoandika ni nadharia tu! Yesu alikuwa na wanafunzi 12,na Yuda alipojinyonga walibakia 11.
Any way Ukiamini na kukiri kwa kinywa chako ndivyo inavyokuwa! Kwa kila tarehe ya kuzaliwa kuna Masikini na kuna Matajiri vile vile.
 
No13,ni namba kuu,inaogopwa na ulimwenguu huu, inaogopwa na wachawi, wanga, freemasons ,wasioamini uwepo wa Mungu, na ndo maana hawataki kuiona,hii namba,inawakera sana na huharibu mipango yao ni namba yenye nguvu sana kwenye ulimwengu wa Roho, na ndo maana hawataki kuiona kabisa. Huwezi kuta kwenye vitu vyao kuna hii namba kuanzia mahotel, mahospital mpaka vyombo vya usafiri.Nikuibie tu Siri watu waliozaliwa tarehe hizi hawasumbuliwi sana na nguvu za giza,na magonjwa, ni wenye bahati, hujiamini, na wenye mafanikio.
Kwa wale Waroman Catholic wenzangu mtakumbuka siku Mama Bikira Maria Alizokua Akiwatokea Watoto Wa Fatima, ni kila tarehe 13,ya mwezi kasoro mwezi wa nane walipopatwa na misukosuko ya kuwekwa gerezani.
Cc. Mshana. Jr
Ailuuuuuuuluuuuuuuuuuuuuuu hekoooooo
 
No. 13,is the powerfully no. And non believers to God, wanaichukia hii no na hawataki hata kuiona.Human mind imejengwa kutokupenda kuona unachokichukia.
Watu waliozaliwa tarehe 13 ,wananguvu sana za Kiroho, kiutawala na hawapati mikosi mara kwa mara. Ni productive no. 1+3=4and √4=2.So it produce no two. And ukijumlisha 1+3=4,means imekava pande nne za Dunia. Ukiwa mfanya biashara utapokea wateja kutoka pande zote.
 
Friday the 13th is considered an unlucky day in Western superstition. It occurs when the 13th day of the month in the Gregorian calendar falls on a Friday, which happens at least once every year but can occur up to three times in the same year,[1]for example in 2015, the 13th fell on a Friday in February, March, and November. In 2017, it occurred twice, in January and October. In 2018, it also occurred twice, in April and July.[2] There will be two Friday the 13ths every year until 2020; 2021 and 2022 will have just one occurrence each.

A Friday the 13th occurs during any month that begins on a Sunday.
 
Back
Top Bottom