Somo letu: Wajua kwanini namba 13 ni namba ya mkosi? Je, umezaliwa tarehe 13?

Mkuu, hili ni jambo fikirishi ufamahu zaidi unahitajika. Si vibaya kama utaendelea kutujuza zaidi kila mara unapopata ufahamu mpya. Kwa sasa siyo mbaya, umeweka msingi, nitakua makini sana na mademu wenye figure number 13
 
Kua nao karibu mkuu na utafanikiwa ajabu
 
Mbaya zaidi ukiwa umezaliwa mwezi wa 13!
Nasikia ni noma kinoma.
Chai juu ya chai.
 
Mkuu, hili ni jambo fikirishi ufamahu zaidi unahitajika. Si vibaya kama utaendelea kutujuza zaidi kila mara unapopata ufahamu mpya. Kwa sasa siyo mbaya, umeweka msingi, nitakua makini sana na mademu wenye figure number 13
Hatari mkuu mimi hata kwenye basi sitapanda tena kwenye siti namba 13
 
Hiyo ya mahoteli ni kweli ila sikujuaga ni nini sababu hususan baadhi za hoteli za kihindi
Kuna hotel moja ikifika 12 wanaweka 12 A ,alafu 14 iko Italy huwa nalala pale mara nyingi nimeshajiuliza mno
 
Hivi kuna jezi ya mpira wa miguu yenye namba 13?
1537264053755.png

Michael Balack, Alesandro Nesta na Maicon ni baadhi ya waliovaa namba 13
 
Yesu alikuwa na wanafunzi 13?
Tusaidiane kidogo. Bw Yesu ilikuwa na wanafunzi 12. Katika karamu ya mwisho yeye alikuwa wa 13. Lakini kwa habari ya kufa ukiwa Mtu wa 13, bado kuna walakini kwa sababu Yuda iskariote ndiye aliyekuwa wa kwanza kufa kabla ya yule wa 13.
Imani hili, imekomaa katika nchi za Ulaya. Ni kweli katika mahoteli ya Ulaya hakuna chumba namba 13. Imani hili imefungamanishwa na imani ya kutopita chini ya ngazi iliyoegeshwa ukutani ikifanya nafasi ya pembetatu.
 
Fidel Castro,General Mboma,Fid Q na mimi Tua ngoma tumezaliwa August 13 hapa nikiamka asubuhi kesho naenda kusaini mkataba wa mamilioni.
Wapo wengine kama Thomas Mueller, Julious Nyerere, Fid Q n.k
Wapo watu wengi wamepata mafanikio kwa mfano wachezaji kama Thomas Mueller kapata makombe kibao akiwa na timu yake ya taifa ya ujerumani, yupo park ji sung akiwa na man kapata mafanikio ibao, yupo thibault Courtois akiwa Chelsea kachukua makombe, Maicon akiwa na inter milan kachukua uefa 2010 sasa ndugu yangu utasemaje hii namba ina mikosi?
Hii namba haina shida kwa watu wa MUNGU ila ina shida kwa waabudu shetani ndio maana maeneo maafuru kwa uchawi hiyo siku ya 13 Friday hawaendi kwenye shughuli zao kabisa pia wafanya biashara mbalimbali hii ni kwa sababu ni washirikina.
 
Hiyo ya mahoteli ni kweli ila sikujuaga ni nini sababu hususan baadhi za hoteli za kihindi
Wahindi ni wachawi sana naskia pia waarabu, wachina, Haiti, Nepal hao ndugu ni mwisho.
Friday 13 ni siku mbaya sana kwao.
Kwa kifupi yanayosemwa huku ni kweli japo sijawahi kukutana na hayo mambo ila kwa uchwawi ndugu yangu india, china, Haiti,Nepal, waarabu ni balaa.
 
Nimezaliwa tarehe 13 septemba.najua hali na mengi ninayopitia.Namuomba Mungu anipe wepesi wa kila jambo.
 
Back
Top Bottom