Somo letu: Wajua kwanini namba 13 ni namba ya mkosi? Je, umezaliwa tarehe 13?

Fidel Castro,General Mboma,Fid Q na mimi Tua ngoma tumezaliwa August 13 hapa nikiamka asubuhi kesho naenda kusaini mkataba wa mamilioni.
 
Namba 13 sio namba ya mkosi, ni namba ya ukamilifu kama namba 4.
Ni kweli kabisa!
Huu utafiti ni wa wadhungu ambao wanataka kututawala katika kila nyanja!
Dawa ni kujipima imani yako na kuamini unachotaka kukiamini walahi!
B643E150-A3D4-4EF9-B0C2-1D80C1DE4527.jpeg
 
Naiamini sana number 4 na 13 Maana kwangu ni number ya baraka sana sana!
Kwenye dollar kuna nyota kumi na tatu 13!
Number nne 4 ni number ya kutawala dunia yote walahi!
 
Wabobezi wa biblia wanakwambia hata hizi tarehe au miezi tunayotumia si sahihi, tunaotumia biblia tuna tarehe zetu na miezi yetu kwa mujibu wa biblia, na waislamu wana tarehe zao na miezi yao na ndo wanayotumia kulingana na kitabu chao.
 
No13,ni namba kuu,inaogopwa na ulimwenguu huu, inaogopwa na wachawi, wanga, freemasons ,wasioamini uwepo wa Mungu, na ndo maana hawataki kuiona,hii namba,inawakera sana na huharibu mipango yao ni namba yenye nguvu sana kwenye ulimwengu wa Roho, na ndo maana hawataki kuiona kabisa. Huwezi kuta kwenye vitu vyao kuna hii namba kuanzia mahotel, mahospital mpaka vyombo vya usafiri.Nikuibie tu Siri watu waliozaliwa tarehe hizi hawasumbuliwi sana na nguvu za giza,na magonjwa, ni wenye bahati, hujiamini, na wenye mafanikio.
Kwa wale Waroman Catholic wenzangu mtakumbuka siku Mama Bikira Maria Alizokua Akiwatokea Watoto Wa Fatima, ni kila tarehe 13,ya mwezi kasoro mwezi wa nane walipopatwa na misukosuko ya kuwekwa gerezani.
Cc. Mshana. Jr
 
Back
Top Bottom