CHADEMA nayo imeamua kuvunja Katiba kama CCM ilivyofanya kwa chipukizi

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,031
Nilitarajia CCM Chama KIZEE AFRIKA kiwe mfano wa Kuigwa na Vyama vingine KUILINDA KATIBA ya NCHI.

Kitendo cha CCM kuwaingiza kwenye SIASA hawa WATOTO Maarufu Kama CHIPUKIZI huku wakiwa na Umri Chini ya Miaka 17 ni UVUNJAJI wa MAKUSUDI wa KATIBA kwani KATIBA inatamka wazi kuwa Ruksa kuingia kwenye Siasa mtu anapokuwa na Umri wa Miaka 18.

Kitendo hicho cha CCM kimepelekea na VYAMA vingine Vianze MCHAKATO wa Kuwaingiza Watoto kwenye Siasa Kama CCM ilivyofanya.

CHADEMA tayari wametangaza kuanza Mchakato huo.

Je Kwanini CCM isiwache hawa WATOTO Wasome kwanza badala ya kuwaingiza kwenye Siasa?

CCM ni Chama Dola Moja ya majukumu yake ni KUILINDA KATIBA lakini imekuwa mstari wa mbele Kuvunja Katiba
CCM imevunja KATIBA kwa Kuwakumbatia HALIMA MDEE na Genge Lake kuendelea kuwa Wabunge huku ikijua Hawana Chama na inawalipa Posho na Mishahara ambayo ni KODI za Masikini Wananchi.

CCM acheni kuichezea KATIBA ya NCHI
 
Nilitarajia CCM Chama KIZEE AFRIKA kiwe mfano wa Kuigwa na Vyama vingine KUILINDA KATIBA ya NCHI.Kitendo cha CCM kuwaingiza kwenye SIASA hawa WATOTO Maarufu Kama CHIPUKIZI huku wakiwa na Umri Chini ya Miaka 17 ni UVUNJAJI wa MAKUSUDI wa KATIBA kwani KATIBA inatamka wazi kuwa Ruksa kuingia kwenye Siasa mtu anapokuwa na Umri wa Miaka 18.
Kitendo hicho cha CCM kimepelekea na VYAMA vingine Vianze MCHAKATO wa Kuwaingiza Watoto kwenye Siasa Kama CCM ilivyofanya.
CHADEMA tayari wametangaza kuanza Mchakato huo.
Je Kwanini CCM isiwache hawa WATOTO Wasome kwanza badala ya kuwaingiza kwenye Siasa?
CCM ni Chama Dola Moja ya majukumu yake ni KUILINDA KATIBA lakini imekuwa mstari wa mbele Kuvunja Katiba
CCM imevunja KATIBA kwa Kuwakumbatia HALIMA MDEE na Genge Lake kuendelea kuwa Wabunge huku ikijua Hawana Chama na inawalipa Posho na Mishahara ambayo ni KODI za Masikini Wananchi.CCM acheni kuichezea KATIBA ya NCHI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Mkuu hakuna katiba Tanzania Bali kuna kijitabu.
 
Nilitarajia CCM Chama KIZEE AFRIKA kiwe mfano wa Kuigwa na Vyama vingine KUILINDA KATIBA ya NCHI.

Kitendo cha CCM kuwaingiza kwenye SIASA hawa WATOTO Maarufu Kama CHIPUKIZI huku wakiwa na Umri Chini ya Miaka 17 ni UVUNJAJI wa MAKUSUDI wa KATIBA kwani KATIBA inatamka wazi kuwa Ruksa kuingia kwenye Siasa mtu anapokuwa na Umri wa Miaka 18.

Kitendo hicho cha CCM kimepelekea na VYAMA vingine Vianze MCHAKATO wa Kuwaingiza Watoto kwenye Siasa Kama CCM ilivyofanya.

CHADEMA tayari wametangaza kuanza Mchakato huo.

Je Kwanini CCM isiwache hawa WATOTO Wasome kwanza badala ya kuwaingiza kwenye Siasa?

CCM ni Chama Dola Moja ya majukumu yake ni KUILINDA KATIBA lakini imekuwa mstari wa mbele Kuvunja Katiba
CCM imevunja KATIBA kwa Kuwakumbatia HALIMA MDEE na Genge Lake kuendelea kuwa Wabunge huku ikijua Hawana Chama na inawalipa Posho na Mishahara ambayo ni KODI za Masikini Wananchi.

CCM acheni kuichezea KATIBA ya NCHI
Ya chama walinyofoa kipengele hilo kwao wala si tatizo!
 
Karatasi haiwezi kuwapora nchi na karatasi haiwezi kuwashitaki Wala kuwalazimisha kufanya kitu sahihi

Sheria wao wanaziita herufi Yan haziwi ki2 kikaeleweka kwao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom