Somo kwa wanaume

Huyu angekuwa wifu wangu hata nguo za kazini ningekuwa nabadilishia bar
 
Acha visingizio mkuu..inawezekana unayosema ni kweli lakini vipi katika upande wako? Una chochote cha ziada cha kumfanya mkeo afanye yote hayo kwaajili yako? Ukute na yeye kakuchoka anaona bora liende. Kuliko kukaa bar uchelewe kurudi kisa mkeo anakera ni bora mkae chini mtafakari penzi lenu upya.
Penzi halichochewi upande mmoja. Wengine mume akichelewa wanafurahi vibaya mno maana wanapata muda wa kupumzika, kutafakari maisha na kuwasiliana na wanaowapenda.
Unawezadhani unamkomoa kumbe mwezio hajali anaona sawa, mwisho wa siku bomu mnalolitengeneza si la kitoto.
 
kuwaaa
 
Wacha kutreat wanaume kama "HOMOGENOUS ENTITY".
 
Zungumza na mume wako.

Ukiona pombe zimemzidi ujitathimini wewe pia, nguvu yako ya ushawishi kama mke unaitumia kikamilifu? Sio uwe goigoi alaf unakuja kulialia humu
 
Huyu angekuwa wifu wangu hata nguo za kazini ningekuwa nabadilishia bar
mkuu vipi na kuhusu kufua na kuoga???? na lile tendo takatifu litafanyika kweli maana unaweza kujikuta umeshaanzisha familia nyingine na waitress anayekuhudumia hapo!!1
 
Kwa lugha uliyotumia na itokee ni mumeo sishangai kesho yake akarudi alfajiri saa kumi na moja au kumi na mbili. Msione mahusioano yanavunjika kiurahisi kauli pia zina mchango mkubwa sana. Hata mwanao huwezi kumkaripia hivi sembuse mume!
 

Jioe tu mwenyewe ujilie papuchi yako kiulainii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…