Somo kwa wanaume

Hao anaokunywa nao pombe ndo wanamfanya apate hela au labda kama hela unampa we we!
 
pole sana mleta mada😊
mwambie tu mwenzio ataacha au asipoacha nenda nae wote mrudi saa saba usiku
 
Siku tukipata katiba mpya
 
Hapo awali mwanamke alikuwa kiumbe wa kuburudisha, kuondoa msongo wa mawazo na kutia moyo sikuhizi imekuwa kinyume sasa wanaume tushajua tukikaa na wake zetu mda mrefu tutaishia kuwapiga makofi na kuchukia.

Tumejipa hobbies mpya na kufanya tupo busy mda wote ili tusipate mda wa kukaa na wake zetu hivyo tupunguza stress za hasira.

Ukitaka tukae nyumbani punguza gubu,maswali ya kipolisi na angalau basi uwe una tabasamu kdg,mumewe akitoka kazini asikute kesi za kijinga akute una furaha mda wote.

Wanaume hatupendi stress embu jaribu kuwa na furaha mda wote japo kwa week mumeo akiingia ndani akute nyumba ina amani.
 
usituzowee fata yakoo...
 
Wanakera eeeet!
 
Ujumbe mubashara kwa Wanaume wote wenye tabia za kuchelewa kurudi nyumbani mnatakiwa kubadilika.
 
Dah...ngoja niseme ukweli tu....msema kweli mpenzi wa Mungu....nimesoma zaidi ya mara 100...ila sijaona somo lolote hapa ....😎
 
Tutake radhi kwanza kwa kutuita ""MADUDE"" umetudhalilisha (in ngosha voice)
 
Mimi najua wanaume tunahitaji kitu cha ziada cha kutufanya tuwahi kurudi home...kama ni maneno mazuri ya wife,ladha ya mapishi ya wife, harufu ya wife, kudeka kwa wife na mambo kama hayo....wanaume hatupendi kushinda bar ila tunalazimika maana home hamna kitu special kabisa.....wewe wife badala hata aniite habe chumbani hawezi ananiita baba Johnson nitawahije rudi guantanamo......

Unaweza fanya vitu vikamchanganya huyo mlevi akaanza rudi saa 10 kasoro jioni..... Mjitahidi kuongeza usaf wa nyumba,maneno na hata miili yenu yan kuna vipoda akipaka wife lazima utamani kumnusaga mda wote, pia vaa kumchanganya huyo mlevi, deka vizuri utaona atawahi tu kurudi.... Wangapi wananunuaga bia wananywea home hku wapo na wife pembeni
 
Duh! Mungu baba muadibishe huyu mwanamke anatukosea heshimu sisi vichwa vya familia
 
sio wote wengine tukienda out lazima twendwe na BAE kurudi mapema na watoto wako katika care nzuri ya kuridhisha kwa wote. huyoo ni tungi master bado anaa u bachelor
 
Ukiona mume ana
 
Inategemea na kazi ya mumeo. Mfano mumeo ni Dereva wa Daladala unategemea kilasiku atawahi kurudi home aje acheze na watoto?.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…