Somo kwa wanaume

Somo kwa wanaume

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,158
Tumia muda wako mwingi kukaa (ku spend) na familia yako, hao unaokunywa nao pombe iko siku watakuzimia simu mxieeeew.
Unakuta lijanaume hata watoto hawalijua linatoka asubuhi linarudi saa saba usiku lipo tungi halijui hili wala lile,unafikiri huo ndio uwanaume???

Sijui yatabadilika lini haya madudee

Huo ndio uanaume.
 
Kritika, Unaweza kuwa uko sahihi na Hoja yako, lakini kwa namna ulivyo ileta inaonekana unataka kutumia Vitisho au Nguvu kuwataka Waume watumie muda wao mwingi kukaa na familia zao kitu ambacho unaweza usifanikiwe, Wanaume wengi wanaokimbia miji yao kwa kurudi usiku mrefu kwa kawaida huwa wanakimbizwa na wake zao nyumbani, hawezi akachelewa kurudi nyumbani kama nyumbani pana mvutia, But kama nuymbani kwake kuna shari anaona ni heri akae bar aondoe stress zake ili akifika nyumbani ni kulala tu.
 
Tumia muda wako mwingi kukaa (ku spend) na familia yako, hao unaokunywa nao pombe iko siku watakuzimia simu mxieeeew.
Unakuta lijanaume hata watoto hawalijua linatoka asubuhi linarudi saa saba usiku lipo tungi halijui hili wala lile,unafikiri huo ndio uwanaume???

Sijui yatabadilika lini haya madudee

Ni sawa haya uliyosema ila lugha uliyotumia napata picha jinsi unavyoongea na mwanaume mwenzangu!!

Tumia nguvu ya uanamke, tumia nguvu ya ushawishi, tumia nguvu ya mahaba!!

Wakati mwingine inawezekana anakereka na kitu flan hapo home, so hatoi nafasi hata kidogo na mazingira hayo!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom