Shuli
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 264
- 618
Wadau kuna Cha kujifunza katika Uzi huu. Ni kweli tuko nyuma katika sekta ya ngozi lakini tumeanza kujitambua. Inatubidi tupige hatua zaidi kufikia Kama mataifa yaliyoendelea katika sector ya ngozi. Huwezi fika kumi bila kuanza na moja. Sisi binafsi tunajihisha na uzalishaji wa bidhaa za ngozi Kama vile viatu, mikanda, wallet, begi za laptop n.k kwa kutumia ngozi za hapahapa Tanzania.Bei za viatu ziko Kati ya 35,000-100,000 Ni kutegemeana na aina na ubora wa ngozi. Ona baadhi ya bidhaa zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app