Somo: House maid kufua towel ya boss wake

Somo: House maid kufua towel ya boss wake

Hapa kuna utoto fulani na ujinga wa majirani kuwajaza uongo wasichana wa ndani. Sijui kama kuna mtu anaweza kutumia litaulo kubwa kwa mambo ya kikubwa. Halafu hii mitandao na fm radio vinachangia kuharibu house girls.

Hata hivyo kwa sasa tunatakiwa kutumia professional maids.

Kweli Babu
Nimewaza huyo mwanaume ana uwezo gani wa kujaza taulo????

Pia kuna uhakika gani kama ni kweli lina shahawa??? ( sorre makamasi, kwa pua gani?)
 
Kweli Babu
Nimewaza huyo mwanaume ana uwezo gani wa kujaza taulo????

Pia kuna uhakika gani kama ni kweli lina shahawa??? ( sorre makamasi, kwa pua gani?)

Unajua kwamba tatizo kubwa la house girls ni majirani? Wanawajaza ujinga na uswahili wa hovyo. Mbona kwa wahindi wanafua kila kitu ?

Nami pia nimeshangaa kwa sababu ni nguruwe pekee anatema kama 300mls. Wengine hata kufikisha 10ml haiwezekani. Labda kama mama mwenyewe anatema masika kama majirani zangu wa Great Lakes.

Washing machine maji mnayo?
 
Ina maana huyo baba anamwaga lita nzima??????

Anyway mkiwa na uwezo nunueni washing mashine....tena ukiwa na vifaa unaweza jikuta huhitaji housegirl

mimi sijui kama anamwaga lita au la! Ila na mwanamke anaweza kujipangusia
 
Yaaani uongo mwingine bhana... Huyu baba anamwaga lt 5 kama tembo au? hivi mbona yahawagi makamasi? Hg kufua nguo za mumeo ni kazi kama kazi zingine. Shida ni hg hajajitambua yeye ni nani na mama mwenye nyumba hajui yeye yukoje na anapaswa kuwaje. Taulo siku hizi zipo kibao hata kwa 5000 unapata kuwa nayo hata 10 unaweza ukinunua mdogo mdogo.
 
Kweli Babu
Nimewaza huyo mwanaume ana uwezo gani wa kujaza taulo????

Pia kuna uhakika gani kama ni kweli lina shahawa??? ( sorre makamasi, kwa pua gani?)

rudi usome uone kama nimeandika wingi wa..... ? Iwe kidogo au nyingi the main point ni usafi kwa ni siri si huwa wanapangusia? Wewe kama hupangusii its good ila hii kitu ipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom