Somo: House maid kufua towel ya boss wake

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
15,150
Reaction score
21,802
Heloo!

Wapendwa leo naomba niongelee usafi wa towel hasa za wanaume maana nina imani kuwa wanaume wote wanatumia towel baada ya kuoga na wanawake wengi ingawa si wote tunatumia kanga/kitenge baada ya kuoga.

Kuna kitu nimegundua kua sio sahihi.Iko hivi hapa ninapoishi ndani ya geti moja ziko nyumba 3 ikiwemo na ya kwangu, wenzangu wanafamilia na wote wana wafanyakazi. Wafanyakazi hawa ni mabinti kama 20yrs.

Wamekuwa wakilalamika kufua towel za maboss wao na wakifua huwa hazitakati kabisa yaani anafua hata bila kuloweka anaanika. Nyumba no 2 mara nyingi mwanamke huwa anamgombeza hg kuwa hatakatishi nguo.Na sehemu tunapoanika mtu yeyote akipita lazima aone kwenye kamba.

Jana kulitokea ugonvi kati ya huyo mwanamke na hg wake. Mwanamke alikwenda moja kwa moja kwenye kamba ya nguo kamuita hg "p..... Ebu njo, nambie towel ya mme wangu umefua au ueloweka?" P alimjibu hivi " mta-towel mkubwaa afu una makamasi kaifuwe mwenyewe."yule mama kwa asira akamwambia "umekuja mjini sasa hivi una kiburi? Andaa mizigo yako kesho urudi kwenye umaskini wenu"leo hii hg ameshaondoka kurudi kwao Sengerema.Kwaiyo niligundua kuwa hg kusema kuwa towel ina makamasi sio makamasi ni.....

SOMO LENYEWE.
Ewe mwanamke fua towel ya mme kwa mikono yako.

1: Chemsha maji weka kwenye ndoo weka sabuni ya ARIEL loweka ifue asubuhi, sugua kwa umakini na weka maji kama mara tano trust me itatakata aswaa.

2. Uwe na towel za kuogea zaidi ya moja.

USHAURI:
Kwa wanawake wote ambao hawajaolewa na akina sie wenye ma bf ebu nunua set ya vitambaa (vi towel) vidogo kwa ajiri ya kujipangusia chumbani kwenu baada ya tendo.

Vi towel hivyo vinauzwa elfu 36000 seti ni vi laini sana.Mpe zawadi bf/mmeo wako na mwambie matumizi yake.Kwa mtu yeyote ambae yuko kwenye mahusiano/ndoa hivi vi-towel ni lazima kuwa navyo ili kuepuka kujipangusia towel la kuogea.

Mwingine atasema eti tukimaliza tendo si tunaenda bafuni kuoga? Hapana, Baada ya tendo unampangusa mwenzio then mnaelekea bafuni kuoga.

Note. Msingi wa ndoa ni usafi.

Wenye ujuzi tofauti tufundishane.
 
Hii story ya makamasi haina ukweli wowote, japokuwa ni ajabu pia kwamba mtu atajitia shahawa kwa taulo la kuogea. Huyo baba anamwaga lita ngapi hadi mtelezo ukamate kwenye taulo?

Kuhusu kutakata, kama hakuna mashine ya kufulia kuloweka kwa masaa 12 kwa kutumia ariel ama omo inalainisha uchafu. Na pia mtu asitumie taulo moja kwa zaidi ya siku 3.
 
honestly nikijitahidi sana wiki......
 
Hii story ya makamasi haina ukweli wowote, japokuwa ni ajabu pia kwamba mtu atajitia shahawa kwa taulo la kuogea. Huyo baba anamwaga lita ngapi hadi mtelezo ukamate kwenye taulo?
Kuhusu kutakata, kama hakuna mashine ya kufulia kuloweka kwa masaa 12 kwa kutumia ariel ama omo inalainisha uchafu. Na pia mtu asitumie taulo moja kwa zaidi ya siku 3.

Ha ha haaa. .Shikamoo dada
 
makamasi watakuwa wanapengea makamasi hao si bure..... mavazi ya waume zenu mfuage wenyewe tu
 
Hii story ya makamasi haina ukweli wowote, japokuwa ni ajabu pia kwamba mtu atajitia shahawa kwa taulo la kuogea. Huyo baba anamwaga lita ngapi hadi mtelezo ukamate kwenye taulo?

Kuhusu kutakata, kama hakuna mashine ya kufulia kuloweka kwa masaa 12 kwa kutumia ariel ama omo inalainisha uchafu. Na pia mtu asitumie taulo moja kwa zaidi ya siku 3.
labda atakuwa anamwaga nje .. labdo wapo kwenye uzazi wa mpango njia ni nyingi
 
Hii story ya makamasi haina ukweli wowote, japokuwa ni ajabu pia kwamba mtu atajitia shahawa kwa taulo la kuogea. Huyo baba anamwaga lita ngapi hadi mtelezo ukamate kwenye taulo?

Kuhusu kutakata, kama hakuna mashine ya kufulia kuloweka kwa masaa 12 kwa kutumia ariel ama omo inalainisha uchafu. Na pia mtu asitumie taulo moja kwa zaidi ya siku 3.

Mmmh siku tatu?
 
Heloo!

Wapendwa leo naomba niongelee usafi wa towel hasa za wanaume maana nina imani kuwa wanaume wote wanatumia towel baada ya kuoga na wanawake wengi ingawa si wote tunatumia kanga/kitenge baada ya kuoga.

Kuna kitu nimegundua kua sio sahihi.Iko hivi hapa ninapoishi ndani ya geti moja ziko nyumba 3 ikiwemo na ya kwangu, wenzangu wanafamilia na wote wana wafanyakazi. Wafanyakazi hawa ni mabinti kama 20yrs.

Wamekuwa wakilalamika kufua towel za maboss wao na wakifua huwa hazitakati kabisa yaani anafua hata bila kuloweka anaanika. Nyumba no 2 mara nyingi mwanamke huwa anamgombeza hg kuwa hatakatishi nguo.Na sehemu tunapoanika mtu yeyote akipita lazima aone kwenye kamba.

Jana kulitokea ugonvi kati ya huyo mwanamke na hg wake. Mwanamke alikwenda moja kwa moja kwenye kamba ya nguo kamuita hg "p..... Ebu njo, nambie towel ya mme wangu umefua au ueloweka?" P alimjibu hivi " mta-towel mkubwaa afu una makamasi kaifuwe mwenyewe."yule mama kwa asira akamwambia "umekuja mjini sasa hivi una kiburi? Andaa mizigo yako kesho urudi kwenye umaskini wenu"leo hii hg ameshaondoka kurudi kwao Sengerema.Kwaiyo niligundua kuwa hg kusema kuwa towel ina makamasi sio makamasi ni.....

SOMO LENYEWE.
Ewe mwanamke fua towel ya mme kwa mikono yako.

1: Chemsha maji weka kwenye ndoo weka sabuni ya ARIEL loweka ifue asubuhi, sugua kwa umakini na weka maji kama mara tano trust me itatakata aswaa.

2. Uwe na towel za kuogea zaidi ya moja.

USHAURI:
Kwa wanawake wote ambao hawajaolewa na akina sie wenye ma bf ebu nunua set ya vitambaa (vi towel) vidogo kwa ajiri ya kujipangusia chumbani kwenu baada ya tendo.

Vi towel hivyo vinauzwa elfu 36000 seti ni vi laini sana.Mpe zawadi bf/mmeo wako na mwambie matumizi yake.Kwa mtu yeyote ambae yuko kwenye mahusiano/ndoa hivi vi-towel ni lazima kuwa navyo ili kuepuka kujipangusia towel la kuogea.

Mwingine atasema eti tukimaliza tendo si tunaenda bafuni kuoga? Hapana, Baada ya tendo unampangusa mwenzio then mnaelekea bafuni kuoga.

Note. Msingi wa ndoa ni usafi.

Wenye ujuzi tofauti tufundishane.

Kwa nn wanamkwaza hg kiasi hichi? Huyo mm hajui wajibu wake ktk familia. Kwa nn uchafu wa airini aone mtu baki? Hizi ndoa hizi balaa tupu. Huyo mm hajitambui ht chembe ni aibu yake looooooo
 
Hapa kuna utoto fulani na ujinga wa majirani kuwajaza uongo wasichana wa ndani. Sijui kama kuna mtu anaweza kutumia litaulo kubwa kwa mambo ya kikubwa. Halafu hii mitandao na fm radio vinachangia kuharibu house girls.

Hata hivyo kwa sasa tunatakiwa kutumia professional maids.
 
professional maids kwa mishahara hii ya kukandamizana bado sanaaaa
 
Ina maana huyo baba anamwaga lita nzima??????

Anyway mkiwa na uwezo nunueni washing mashine....tena ukiwa na vifaa unaweza jikuta huhitaji housegirl
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom