Sometimes wanawake mtulize vichwa tufanye maendeleo!

Likija swala linalohusisha hela km kununua chakula n,k hpo et kichwa cha familia (baba) ndo aonekane!! Ila mambo mengne wanaleta haki sawa!!! Wanawake msitufanyie hvyo.
 
Ni udhaifu kwa mwanaume kutegemea pesa ya mke wako..

You should man up and pay your bills and family's.
Mmh haya. Naheshimu mawazo yako ila ni ghali sana kwa huyu lady ambaye hachangii chochote.seems to me like hana say kwa lolote pia , utakalo lazima litimizwe tu kivyovyote.
 
Wanaume kupenda pesa za wanawake itawacost na mtapata shock,stress na hypertension msipojipanga haki nawaambia..
 
Wanaume kupenda pesa za wanawake itawacost na mtapata shock,stress na hypertension msipojipanga haki nawaambia..
hatujasema tunazipenda pesa zao la hasha! tusaidiane kufanya maendeleo ya familia
 
Mmh haya. Naheshimu mawazo yako ila ni ghali sana kwa huyu lady ambaye hachangii chochote.seems to me like hana say kwa lolote pia , utakalo lazima litimizwe tu kivyovyote.

Ninachosisitiza..

Mwanamke akitoa sehemu ya kipato chake kwa ajili ya familia ni sawa na sio vibaya ila kumbuka sio wajibu wake...
 
Kama ni hivyo akae nyumbani alee watoto basi remember slogan ya bawata? Haki sawa mujukumu kwa wote.sasa hapa 50/50 inakuwaje mkuu.Tusipotoshane kama baba ni kichwa mama ni shingo wote ni mwili.
Likija suala la pesa mnatusaidia wenyewe kuihubiri 50/50 ila yakija majukumu mengine utasikia wanawake wa siku hizi hawajielewi!!!
Na nyie hamjielewi kulilia pesa za wanawake.
 
Mwanamke akiamua kujiongeza na kujaza store kwa hela zake ni heri ila sio wajibu wake.
Mwanaume ni wajibu wako kufanya kila kitu kwasababu wewe ndo baba na kiongozi wa familia.
Aisee yaani wote tunaamka saa 11 tunawahi kazini tena tunarudi wote nyumbani saa 2 usiku alafu unasema mshahara wake ni wake ila wa kwangu ndio wa familia pamoja na yeye!!!

Hahahaaaaa labda kama sio mm, hiyo kazi yake ina faida gani kwangu na wanae!? Mbona beki tatu angeshampindua mapema ili akawe huru zaidi na mshahara wake na maisha yake.
Ujinga ujinga sipendi kabisa mm.
 

Sawa mkuu. Ila huo ndio ukweli...
 
Hayo mambo yakutegemea wanaume yalikua zamani, haki sawa wameitaka wenyewe, wote tushiriki kujenga familia
 
Sawa mkuu. Ila huo ndio ukweli...
Mkuu hawa ukiwadekeza ndio wanazidi kukupanda zaidi kichwani ni kuishi nao kwa akili sana wasikujue kabisa tabia yako halisi! Vinginevyo utajikuta ukifa kijerumani na tai shingoni.
Kusudi halisi la Mungu kumuumba mwanamke ni kumsaidia mwanaume, sasa shida inakuja pale mwanamke anapokaa tu kama pambo nyumbani hana msaada wowote tena mbaya zaidi anafanya kazi unafikiri hiyo ndoa itadumu hata kama mume ana uwezo sana!? No way lazima ife tu kwasababu hilo halikuwa kusudi halisi la Mungu.
 
Kama ni uchawi wa nywele,si achukue mavuzi yake tu au vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…