jambo hilo haliwezekani kama ndo hivyo basi ngoja wanaume tufanye maendeleo lakini mwisho wa siku tukiachana asidai chochote nilichochuma mimi nisije nikambaka bureHela ya mwanamke sio yako na usiipigie mahesabu.
Store inatakiwa kujazwa na mwanaume na sio huyo mkeo.
Kama baba anatengeneza 1M na mama anatengeneza 2M basi jua familia ina 1M kwasababu hiyo 2M ya mama sio ya familia. Ni yake.
Kwahiyo unataka kila anachotengeneza akuwekee mezani?jambo hilo haliwezekani kama ndo hivyo basi ngoja wanaume tufanye maendeleo lakini mwisho wa siku tukiachana asidai chochote nilichochuma mimi nisije nikambaka bure
Hapana aisee.yaani daily wanao dagaa la mwanza! Eti ni wajibu wa baba yao. What if they will grow to hate you utasema' 'umetoka katika hili tumbo hili'maskhara hayo.mie nionavyo ya mom ndio ya familia ya baba inamidomo mingi mingine hata haionekani kwa macho.Hela ya mwanamke sio yako na usiipigie mahesabu.
Store inatakiwa kujazwa na mwanaume na sio huyo mkeo.
Kama baba anatengeneza 1M na mama anatengeneza 2M basi jua familia ina 1M kwasababu hiyo 2M ya mama sio ya familia. Ni yake.
Na wote tuseme Amen [emoji122] [emoji122]Hela ya mwanamke sio yako na usiipigie mahesabu.
Store inatakiwa kujazwa na mwanaume na sio huyo mkeo.
Kama baba anatengeneza 1M na mama anatengeneza 2M basi jua familia ina 1M kwasababu hiyo 2M ya mama sio ya familia. Ni yake.
Mwanamke akiamua kujiongeza na kujaza store kwa hela zake ni heri ila sio wajibu wake.
Mwanaume ni wajibu wako kufanya kila kitu kwasababu wewe ndo baba na kiongozi wa familia.
Na wote tuseme Amen [emoji122] [emoji122]
Hapana aisee.yaani daily wanao dagaa la mwanza! Eti ni wajibu wa baba yao. What if they will grow to hate you utasema' 'umetoka katika hili tumbo hili'maskhara hayo.mie nionavyo ya mom ndio ya familia ya baba inamidomo mingi mingine hata haionekani kwa macho.
Kama ni hivyo akae nyumbani alee watoto basi remember slogan ya bawata? Haki sawa mujukumu kwa wote.sasa hapa 50/50 inakuwaje mkuu.Tusipotoshane kama baba ni kichwa mama ni shingo wote ni mwili.Hapana. Mzee toa hela mama awajibike..
Mwanamke akijitoa (Japo wengi wanajitoa) ni vyema zaidi..
Usije ukahesabu hela ya mwanamke, sio wajibu wake kuhudumia familia.
Kama ni hivyo akae nyumbani alee watoto basi remember slogan ya bawata? Haki sawa mujukumu kwa wote.sasa hapa 50/50 inakuwaje mkuu.Tusipotoshane kama baba ni kichwa mama ni shingo wote ni mwili.