Something Special on Haya Girls

Asante kwa kuweka hili wazi. Hizi soft skins wanazosema wahaya wa vijijini wanazo huko dijazoona bado, nimeenda na kukaa huko Kyerwa hadi milima ya Murongo, leo ndio nasikia eti wadada wa kihaya wana sura nzuri na ngozi nyororo kisa hawafanyi kazi ngumu kama wa mikoa mingine. Sijui hizo takwimu zatoka wapi Jamani...na vumbi lile...mmmmh...
 
So what?
Umeamka na pombe za krismas wew, Hivi msukuma utamwabia nini anayeamini mwanamke mzuri lazima awe na ngozi light??? Uzuri uko machozi kwa mtazamaji bwana!!!!!!
 

Wewe umeona kabila za kuongelea hapa ni Wahaya na Wachaga tu?
Mbona kuna kabila nyingi zipo vizuri tu.
 
 
Pamoja na kwamba kuna ukweli ila kama ni mume wako anatamka haya mbele yako utajisikiaje nisaidieni MankaM embu njoo nisaidie tinna cute Preta KOKUTONA wifi zangu nsadieni mchagga mie sina mume hapa

Hahahahaha!!! japo kuna ukweli hapo mpe adhabu,,,,, mnyime morning groly wiku nzima mpka afute kauli yake
 
Last edited by a moderator:
Wahaya si ndio wanafanya ile biashara pendwa ya buguruni,manzese,sinza na mwananyamala?

Mwandishi, ulitaka kutuaminisha kwamba uzuri wao ndo umepelekea wafanye biashara ile na hvyo kua na uhakika wa kuteka soko eeh...?
 
Beauty is something natural. But smartness can be acquired!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…