kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,295
- 17,795
shemu hadi wewe unatumia hilo neno?
ha ha ha.....
kumbe nimechanganya
umependelewa kaka..
kudate na mdada mzuri, kunafungua fursa ya wazuri..
sorry i take as too useless..
Most of them kiukweli wana weusi mzuri hivi na pia kwa shape mashallah na miguu yao ndio huwa inanimaliza yani miguu ya bia haswaaa.Ila tatizo tembea yao mie hoiiii!!!
shem mbona hapo umelisema vizuri? "shida"..
Kwenye shape si haba ila kwenye lugha aisee wahaya wana kandamiza kiswahili sijawai ona!Lafudhi yao kila nikisikia nahisi kucheka!
Sijui ndio nimependelewa au ndio bahati ya mtende??
Kwenye shape si haba ila kwenye lugha aisee wahaya wana kandamiza kiswahili sijawai ona!Lafudhi yao kila nikisikia nahisi kucheka!