somesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Magoda Junior awachana wazazi wanao somesha English Mediums kwa kufuata A+

    Jitahidi Usome Mpaka Mwisho ✅Unatoa milioni 3+ na mtaaluma wa shule kitu pekee anaonyesha kwao ni best ni A+ tena ambazo zimetokana na remedial za kutosha , makambi ,speed test nyingi jua unatapeliwa tu. ✅Nafahamu sio wote watakaonielewa ila katika karne ya 21 ambayo shule ni nyingi sana...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Somesha wanao wasije kuhangaika kununua PhD

    Ndugu zangu ushauri sio shuruti PhD ya kununua naona haikati kiu kila siku utanunua. Muhimu usomeshe wanao.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Urgently: Rais Samia nakuomba fanya jambo hili haraka sana uwasaidie wazazi wanao somesha Kayumba

    Walimu wa shule za Kayumba wamegeuza watoto mitaji.. Mtoto bila kwenda shule na Mia tano ya chakula plus Mia tano ya mitihani anapigwa sana au haruhusiwi kuingia darasani. Shule zingine bila buku getini mtoto haruhusiwi kupita getini. Mbaya zaidi hadi wakati wa likizo kama huu walimu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ukata wazidi kuwapiga wazazi wanaosomesha shule za EMs. Nilichokiona madhahahuni jana kimenistua sana

    Ni kwenye madhabahu moja maarufu na kubwa Sana jijini Dar es salaam. Apostle akasema " Kama Wewe ni mzazi unasomesha shule ya Ems na mpaka Sasa mtoto wako bado yupo nyumbani Kwa sababu una daiwa ada simama kwa miguu yako miwili sogea mbele nikuombee" Maelfu ya masikini na mafukara wakasimama...
  5. Fateema

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini wazazi wanaosomesha Private schools wanachukia Division 1 za Kayumba Schools

    Ni ukweli ulio wazi kwamba wazazi wanao somesha watoto wao Ems za private shule ya msingi na private schools shule za sekondari wanachukia Sana kuona watoto waliosoma Kayumba kuanzia la kwanza hadi form 4 wakipata Division One form 4. Kwanini? 1. Wazazi wanaosomesha shule za EMs na private...
  6. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Ombi la mtoto kwa baba yake mzazi (SHAIRI)

    watoto (wanafunzi) wanaendelea na story zao za hapa na pale huku wanasimuliana jinsi siku ilivyokuwa nzuri shuleni. watoto hao wanaagana na kila mmoja anaenda nyumbani kwake, Huyu mmoja anakaribia kwake na anamkuta baba ake akiwa ana furaha sana. baba anamuita mtoto wake na kumuambia jinsi...
Back
Top Bottom