Somesha wanao wasije kuhangaika kununua PhD

Narudia, hakuna watu wanapata tabu Dunia hii kwa Sasa kama haters wa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Hakika wanateseka sana. Inafurahisha kweli kuyaona maumivu ya haters.
Ndiyo wanapata tabu kuona wanaongozwa na mtu aliyekuwa na ndoto za kuwa muhudumu wa ndege, ni maiti tu ndiyo hawezi kuona shida hiyo. Sasa jiangalie hapo upo kundi gani?
 
Waafrika tuna obsession na vyeti ata kama havina faida katika maisha yetu ya kila siku.

Yaani mtu anasikia raha tu akiitwa msomi, Dr, PhD, MSc, Engineer, Wakili, CPA and other nonsensical titles. Labda kwa sababu access to education bado ni privilege fulani hivi.

Kama huna qualification, unaendesha maisha poa ambayo hayaitaji cheti; you are not missing anything in life unaweza kujifunza mengi tu bila ya formal education leo, if curiosity drives you.

Tuna kasumba tu na hivi vyeti.
Kwahiyo kusoma na kununua Bora kununua
 
Na huo ndio Ukweli usiokuwa na chenga chenga ! ✅✅
 
Back
Top Bottom