soma uijue hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

soma uijue hii

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by yaser, May 1, 2012.

 1. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  niaje wandugu.poleni sana ndugu zangu wa MAN U, ila pia huwezi kujifu una mbio bila kumsifu anayekukimbiza so hongeren pia MAN CITY kwa mechi iliyomalizika hivi punde.any way turudi ktk kambi yetu ya MMU.kuna utafiti uliofanywa na mwanajamii mmoja kuhusiana na masuala ya mapenzi hasa kwa wapenzi wasiojuana nikiwa na maana ya kwamba utakuta mmefahamiana tu ktk simu ama kwa facebook na mkakubaliana kukutana kwa mara ya kwanza na mko mbali mbali labda mwanamke yuko mwanza na mwanaume yuko mtwara,kwa mara mara ya kwanza mwanamke anaweza akatoka aliko kumfuata mwanaume aliko bila hata ya uoga wa aina yoyote.hii inaonesha mwanamke ni mtu jasiri na hana uoga hata kidogo.takwimu haimaanishi kua wanaume huwa hawafanyi haya majambo ila wanawake ndio wanaongoza sana....so imekaaje hii au nature?
   
 2. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mwanamke ndo anayetumiwa nauli
   
 3. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,372
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Power of GRAVITY.
   
 4. M

  Mama Ashrat Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio lazima mmoja amfuate mwenzake. Mnaweza mkakutana katikati, kila mmoja akaondoka kwake mkakutana.
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Hii mambo ya kukutanba fb ama jf na kufungiana safari kuonana huwa naiona strange flani hivi. Aah uzee raha bana!
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wanawake normal wako serious in relationship and willing to take risk.
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  i didnt knew it
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  hii hoja ina ukweli ndani yake...
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Ndo maana nimejipa likizo!
   
 10. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Ya bila malipo?
   
 11. m

  manasa Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh! hilo nalo swala.
   
Loading...