What does it take to be a man?

What does it take to be a man?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,410
Reaction score
31,286
Unajua kwa zama hizi za machafuko ya kijamii, na mbomoko wa maadili kumekuwa na misconception ya maana halisi ya kuwa mwanaume.

Siku hizi vijana nao wamekuwa kama majike tu, mwanaume mzima anafanya kazi za kike! Hashughulishi misuli yake na uzito. Hana mitikasi ya kumfanya atoe jasho.. Hana leading capacity.

Hivi, mnadhani hii ni kawaida?

Nakumbuka home ilikuwa kitu kimeharibika, hakuna kutafuta fundi ilikuwa akija fundi mara moja tu imeisha hiyo, mwanaume una fix mwenyewe.

Ila leo, mtu hata kubadili taa ndani mpaka ampigie fundi?

Anyways hiyo ni nyanja moja tu, niliyo zungumzia.

Wanaume mpo, najua kuna elders wetu wa kina Mshana Jr ERoni Pascal Mayalla na wengineo ila pia elder women, kina cocochanel Binti wa zamani na wengineo

achana na hawa millenials waliovurugwa na maisha hawajui kitu..

Tunaomba leo elders mje hapa mtuambie what it takes to be a man.

Maana vijana wamevurugwa na distractions asijue nini maana ya kuchukua role ya kuwa mwanaume, hata Cosmas madulu, my new mentor anasema, "mwanaume anaye tegemea pesa ya Mwanamke alichobakiza ni jinsia tu"..

Being a man, na kujua mipaka yako ni nyenzo bora za kuja kuwa na familia iliyo imara.

Sisi ambao now tunataka uingie rasmi katika kuwa na familia, huku tukiishi maono yetu tunaomba footprints kutoka kwenu wazee, maana humu mko wengi mno...

Itakuwa vyema kama tukiweka ego pembeni na kuchukuliwa hii mada kama moja ya thread muhimu kwa ajili ya manufaa ya vijana waliopotea.

Nawasilisha.
 
Mwanaume haukumbushwi kuwa wewe ni mwanaume ukiona mwanaume unakumbushwa kuwa wewe ni mwanaume basi ujue kuna shida.
Mkuu ndo maana nikasema weka ego pembeni..

We are shaped by our environment, wewe jinsi ulivyo ni result ya malezi na environment, kataa ukubali.

Unavyosema usikumbushwe, huenda ego yako inakufanya useme hivyo(superiority mindset) ulivyokua mchanga au mtoto mdogo ulijua kushika jembe? Ulijua kufunga Tai shingoni? We think that we own our morals kumbe kuna nguvu kubwa sana ya malezi, ambayo umeshasahau hata mzizi wake uko wapi.
 
Pesa ni fiction ya wenye akili kuwatawala wenye akili ndogo!!
Wachache walikaa wakatengeneza mfumo wa pesa na ukiwa nazo nyingi uonekane tajiri kumbe ni maskini wa kutupwa!!

Matajiri wa kweli hawachukulii pesa kama utajiri na Wala hawawekezi huko bali kwenye Vito,ardhi n.k

Mapesa mengi na kwamba "hela ndio kila kitu" hiyo ni fiction ya kutawala low mind!!

Mtazamo kuhusu pesa kwenye jamii unapaswa ubadilike sana kuliko Hali mbaya iliyopo sasa!!
 
Inawezekana hauja nielewa Mkuu ndiyo maana umeona ni ego.

Mchango wangu unasema 👇👇

"Mwanaume haukumbushwi kuwa wewe ni mwanaume ukiona mwanaume unakumbushwa kuwa wewe ni mwanaume basi ujue kuna shida".

Nikiwa namaana kwamba hiyo shida ipo katika maana pana inaweza ikawa katika malezi, elimu, mtazamo, mazoea, mazingira au jamii ndiyo shida yenyewe mpaka kupelekea mwanaume kukumbushwa kuwa yeye ni mwanaume so ni hivyo mkuu. we good.
 
Sawa naona umeenda katika angle ya wealth vs having income

Kuna msemo nilisikia maskini wanatunza pesa wakati matajiri wanawekeza pesa.

Thanks for your contribution kamanda
 
As a man, a husband and a father, everything should revolve around you in the house. Yaani decisions zote zipate kibali chako, ukiruhusu hawa watu wafanye kidogo tu tena bila wewe unakuwa unauza nafasi yako kirahisi sana.

Being a man ain't easy, ndio maana kuna wenzetu wameamua kuuza uanaume wao, wameona bora wawe wanawake tu. Caring for the family kuanzia malazi hadi afya, paying all the bills huku jamii ikikusubiri ain't that easy. Ila hayo ndio mambo ukiyasimamia vizuri yatafanya uitwe mwanaume.
 
Inawezekana hauja nielewa Mkuu ndiyo maana umeona ni ego.

Mchango wangu unasema 👇👇

"Mwanaume haukumbushwi kuwa wewe ni mwanaume ukiona mwanaume unakumbushwa kuwa wewe ni mwanaume basi ujue kuna shida".

Nikiwa namaana kwamba hiyo shida ipo katika maana pana inaweza ikawa katika malezi, elimu, mtazamo, mazoea, mazingira au jamii ndiyo shida yenyewe mpaka kupelekea mwanaume kukumbushwa kuwa yeye ni mwanaume so ni hivyo mkuu. we good.
The implication of you saying that statement was like trying to neglect kuwa chanzo cha mwanaume kutokujua place yake ni kama kujitoa ufahamu tu...

Ambayo ukichimba logic yake, hauwezi kuona kuwa kumbe behavior inakuwa shaped sio intrinsic.

Sawa tuna nature zetu kama wanaume, ila na kuahidi mtoto akikulia mazingira ya mashoga, au mateja kuna kuwa na possibility kubwa ya yeye kuwa vile. Unaposema shida, unakosea, because hauendi kwenye root
 
As a man, a husband and a father, everything should revolve around you in the house. Yaani decisions zote zipate kibali chako, ukiruhusu hawa watu wafanye kidogo tu tena bila wewe unakuwa unauza nafasi yako kirahisi sana.

Being a man ain't easy, ndio maana kuna wenzetu wameamua kuuza uanaume wao, wameona bora wawe wanawake tu. Caring for the family kuanzia malazi hadi afya, paying all the bills huku jamii ikikusubiri ain't that easy. Ila hayo ndio mambo ukiyasimamia vizuri yatafanya uitwe mwanaume.
Taking responsibility 💯💯💯

Wonderfully put sir🙏
 
Sahihi....je una idea yoyote kuhusu topic at hand?
"What does it take to be a man?"
Hapo tunaangalia mchakato mzima utakaotufanya tupate result/output/product (mwanaume kamili) moja kwa moja nimesema malezi kwasababu hichi ni kiumbe (input) katika (storage)mazingira,familia,jamii,taifa kinatakiwa kupite kwenye mchakato wakubadilisha (process) malezi ,elimu, ili upate iyo result ambayo ilikuwepo kwenye timezone zilizopita kwaiyo kama tunapata tofauti kuna shida kwenye inputs,transomation na storage....kwaiyo ukifatilia hapo kale utagundua izo stage zote zilikuwa genuine tofauti na ukisasa uliopo leo ndio maana wewe huwezi kuwa kama hao legends uliowataja japo wote ni wanaume lkn kuna a lot of changes hata wao ukiwalinganisha na kale kuna vitu vinapungua kwasababu uelekeo wetu sote ni ukisasa ambao unaathiri zaidi stage ya malezi.
 
Back
Top Bottom