Soma taratibu kisa hiki kilichonitokea kisha nishauri

Daahhh double trouble... kwanza umefanya jambo jema sana hukukurupuka kuongea na dogo na ukamskiliza hujataka kumnyanyapaa!ila nikwambie kitu hakuna mtu anajua kusaundisha km shoga mchekee kidogo akija mara y pili na ya tatu sijui km utasalimika..
wana mdomo sukari sana
Uko sahihi ni ving'ang'anizi sana ila sishindwi kumdhibiti isipokuwa nilitaka nipate infos za kutosha kutoka kwake
 
Hii dunia ukiona ndugu zako hawana majanga majanga usijisifu.ni Mungu tu kaamua.

hali ni mbaya sana jamani,sisi tunaofanya kazi karibu na vituo vya polisi ndio tuna picha halisi nini kinaendelea.mkuu mmoja wa kituo anasema kunavijana walimkamata baba mmoja uchochoroni amemkunja bwana mdogo mmoja wa 16,wakamshika na kumpeleka hapo kituoni,ajabu dogo alikuwa anapigwa pipe ila hata wasi wasi hana,kaja anatembea mwenyewe hapo as if nothing happen.

ili kufanya jambo kwa ngugu zako,jaribu kuwachota ujue kama hawajawahi kumla.
maana urafiki na choko kama hakuvutii kumkaza,basi jua atakushawishi ukazwe kama yeye.
 
Daahhh double trouble... kwanza umefanya jambo jema sana hukukurupuka kuongea na dogo na ukamskiliza hujataka kumnyanyapaa!ila nikwambie kitu hakuna mtu anajua kusaundisha km shoga mchekee kidogo akija mara y pili na ya tatu sijui km utasalimika..
wana mdomo sukari sana

Yalishakukuta mkuu ukaingia mtegoni ???
 
Kabla ya kuanza kusoma huu uzi nilikua nina ile morning erection katikati ya uzi nikazidi kuerect now ukawa umechelewa kutaja jinsi yake so nikawa mara nakua on mara off ulipotaja jinsi yake ndiyo imekua off moja kwa moja.

Anyway, katika saikolojia na somo la youth delinquency tukakubaliana kwamba mtoto atastruggle kutafuta identity ya jinsi yake na hii struggle huipata wakati anabalehe. In fact science study moja inasema jinsi ya mtu hua haiwi determined at birth instead hua inakua learned na mhusika.

So kazi ya saikolojist siyo kumuambia aache kua alivyo ila ni kumuencourage kuipita hiyo njia bila hofu yaani sasa hivi aweze hata kuwaambia wazazi wake kwamba anapenda kumpapasa yule kaka wa duka la dawa.

Kama kuna mtu anadhani huyo atageuzwa akili awe mwanaume no it does not work that way. So nipe namba yake nimguide.

NB. Anayetakiwa kuuza duka la dawa kuna vigezo vya utabibu inabidi akidhi, so wewe, Rama na Denis wote mna hivyo vigezo?
Duh
 
Ila na wewe ni kama ulikuwa unasikia raha kushikwashikwa na Denis.Nilitegemea dakika tu zile za mwanzo ungekuwa umerusha hata kibao kimoja kikali sana hata kama kingemkosa ungedondoka kwa nguvu ulizozitumia
 
hii dunia ukiona ndugu zako hawana majanga majanga usijisifu.ni Mungu tu kaamua.

hali ni mbaya sana jamani,sisi tunaofanya kazi karibu na vituo vya polisi ndio tuna picha halisi nini kinaendelea.mkuu mmoja wa kituo anasema kunavijana walimkamata baba mmoja uchochoroni amemkunja bwana mdogo mmoja wa 16,wakamshika na kumpeleka hapo kituoni,ajabu dogo alikuwa anapigwa pipe ila hata wasi wasi hana,kaja anatembea mwenyewe hapo as if nothing happen.

ili kufanya jambo kwa ngugu zako,jaribu kuwachota ujue kama hawajawahi kumla.
maana urafiki na choko kama hakuvutii kumkaza,basi jua atakushawishi ukazwe kama yeye.
Uko sahihi,hali inasikitisha sana,halafu vijana wenyewe wadogo sana
 
Ila na wewe ni kama ulikuwa unasikia raha kushikwashikwa na Denis.Nilitegemea dakika tu zile za mwanzo ungekuwa umerusha hata kibao kimoja kikali sana hata kama kingemkosa ungedondoka kwa nguvu ulizozitumia
Siwezi kusikia raha yoyote kumbuka niliacha anishike mikono ili nimhoji nipate majibu yangu akiwa huru
 
Aisee hadi nimesikia kichefu chefu, anyways io vihi, fanya namna yeyote uongee na wazazi wake kuhusu suala hili,hakikisha wazazi umewaambia na wanajua tatizo la kijana wao, kwa nafasi yako pia jitahidi kumshauri madhara ya huu ukumamae huyo dogo, ila aisee kuna wakati unaogopa kumkojole mtu ndani kwa sababu ukizaa binti matatizo , ukizaa dume matatizo, waaai, mamamamae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom