Soma taratibu kisa hiki kilichonitokea kisha nishauri

Inatia uchungu sana,ila kama ulivyosema tuwe makini sana ila pia tumwombe Mungu awalinde,Maana huwa nikiwaona wazazi kina kitu moyoni huwa kinanihuzinisha
Moyo wangu unafukuta kwa uchungu.
Pekee yetu kama wazazi hatuwezi kabisa..tufanye yatupasayo na yaliyondani ya uwezo wetu kama wazazi..mengine tuyakabidhi mikononi mwa Mungu.

Nasikia uchungu mnooooo ni huzuni sana
Shule za bweni nazo changamoto sana! Haya mambo yanaanziaga huko
 
Kwa hyo wenye sura ya mama...ndo hvyo tena..

Eeh Mungu utujalie kutuepusha na fitna hzo katka familia zetu...

Na mtindo wa kuwala hao mash*ga mwsho wa sku unajikuta na wewe unazaa shoga ktk damu yako...coz karma is there
 
Kabla ya kuanza kusoma huu uzi nilikua nina ile morning erection katikati ya uzi nikazidi kuerect now ukawa umechelewa kutaja jinsi yake so nikawa mara nakua on mara off ulipotaja jinsi yake ndiyo imekua off moja kwa moja.

Anyway, katika saikolojia na somo la youth delinquency tukakubaliana kwamba mtoto atastruggle kutafuta identity ya jinsi yake na hii struggle huipata wakati anabalehe. In fact science study moja inasema jinsi ya mtu hua haiwi determined at birth instead hua inakua learned na mhusika.

So kazi ya saikolojist siyo kumuambia aache kua alivyo ila ni kumuencourage kuipita hiyo njia bila hofu yaani sasa hivi aweze hata kuwaambia wazazi wake kwamba anapenda kumpapasa yule kaka wa duka la dawa.

Kama kuna mtu anadhani huyo atageuzwa akili awe mwanaume no it does not work that way. So nipe namba yake nimguide.

NB. Anayetakiwa kuuza duka la dawa kuna vigezo vya utabibu inabidi akidhi, so wewe, Rama na Denis wote mna hivyo vigezo?
 
Inasikitisha sana

kwakuwa wewe upo hapo kwa muda tu, yaache yalivyo. Ama ikikugusa sana basi andaa ujumbe wa siri(barua) au jitahidi upate namba ya baba yake umtumie ujumbe unaoeleza kama ulivyotueleza hapa. Huku ukimshauri baba yake achukue hatua atazoona zinafaa kumsaidia mwanaye
Angalau naweza kufikiria hili kwa baadae,maana huu mlima ni kazi kuupanda
 
Usiseme mdogo wako rama hafahamu na Ni marafiki tu kumbuka rama (mdogo wako )Yuko form 2 na huyo (gay)amemaliza form 4 yaan hapo jiulize urafiki wao umejengwa na Nini wakati Kuna gap kubwa age,elimu baina yake na mdogo wako maana kwa umri wao sio rahisi wao kuwa na urafiki wa karibu kiasi hiko

Usikute mdogo wako ndio shostito wake
Usikute mdogo wako ndio babe wake.

Ushauri .
Kwakuwa huyo kagoma kukueleza ulipojaribu kumbana Kama mdogo wako anayafahamu kuhusu yeye bhas na kwakuwa una ushahidi 100% huyo dogo ni bobrisky bhas Cha kufanya Ili kumuokoa mdogo wako kutoka kwenye Hilo janga muite rama(mdogo wako) nenda direct kwa kumbana mwambie huyu rafiki yako Yuko Hivi(gay) na ameniambia kuhusu wewe kila kitu je umeànza lini urafiki na huyu,atafunguka yote(kumbuka sura ya ukauzu kidogo Ili ajue uko serious)
 
Kwa hyo wenye sura ya mama...ndo hvyo tena..

Eeh Mungu utujalie kutuepusha na fitna hzo katka familia zetu...

Na mtindo wa kuwala hao mash*ga mwsho wa sku unajikuta na wewe unazaa shoga ktk damu yako...coz karma is there
Uko sahihi ukila hawa hio laana haitakuacha kwenye kizazi chako,kuna dhambi zinaambatana na laana,halafu huyu bado mdogo sana
 
Unaposema mpaka atakaporudi utaongeza Tatizo,na huko shule vijana wengi huanza na kuwa jiwe kwenye huyo tabia,ili kumuokoa ndogo wako usiyefahamu Kama naye kajiingiza huko kwanini usiende?hawaruhusu kutembelea wanafunzi?watoto?wadogo zenu?
Nafikiria nifanye hivyo ila kwa sasa alishaenda shule mkoa tofauti na hawaruhusiwi simu kwahio mpaka likizo
 
Kuwaeleza wazazi wake kwangu ni ngumu sana kwanza sio watu ninaofahamiana nao ziadi ya kuwaona tu wakipita,pili Mimi huku ni kama mgeni tu maana huwa sikai hapa,halafu sasa tuhuma zenyewe nitakazopekeka kwao ni nzito mno,sijui kama kuna mzazi ataamini kirahisi
Kuna sababu umezitoa hapo hazina Mashiko hata kidogo.na hizi sababu ulizozitoa inaonekana umeishia kusikitika tu lakini moyo haujapata kububujikwa kwa uchungu.Mungu wangu majibu yako ni mepesi😩😩😩

Kuna mkuu hapo juu kashauri kuwa unaweza kutafuta namba ya simu ya huyo baba wa mtoto ukazungumza nae hata kwa simu.

Chief haujaamua kuwaambia ukweli hao wa zazi wa huyo mtoto.

Man kama uko hapo kijijini tafadhali fanya kitu..kama peke yako ni ngumu basi zungumza na baba yako au anko wako mjue ni jinsi gani mtaweza kuzungumza na mzazi wa kiume wa huyo mtoto.wanaume kwa wanaume mkikaa mnaelewana.na uzuri ni kwamba voice note unayo itasaidia kwa kiasi fulani kuaminika.

Tafadhali ndugu yangu usikae kimya...okoa watoto wengine ambao bado hawajaharibika🥺🥺🥺🥺

Ohoooo Jesus 😭😭😭😭
 
Kabla ya kuanza kusoma huu uzi nilikua nina ile morning erection katikati ya uzi nikazidi kuerect now ukawa umechelewa kutaja jinsi yake so nikawa mara nakua on mara off ulipotaja jinsi yake ndiyo imekua off moja kwa moja.

Anyway, katika saikolojia na somo la youth delinquency tukakubaliana kwamba mtoto atastruggle kutafuta identity ya jinsi yake na hii struggle huipata wakati anabalehe. In fact science study moja inasema jinsi ya mtu hua haiwi determined at birth instead hua inakua learned na mhusika.

So kazi ya saikolojist siyo kumuambia aache kua alivyo ila ni kumuencourage kuipita hiyo njia bila hofu yaani sasa hivi aweze hata kuwaambia wazazi wake kwamba anapenda kumpapasa yule kaka wa duka la dawa.

Kama kuna mtu anadhani huyo atageuzwa akili awe mwanaume no it does not work that way. So nipe namba yake nimguide.

NB. Anayetakiwa kuuza duka la dawa kuna vigezo vya utabibu inabidi akidhi, so wewe, Rama na Denis wote mna hivyo vigezo?
Umeongea kitu cha kweli kuhusu Saikolojia kwamba labda kujitambua kutamsaidia bahati mbaya huyu Dogo hana simu

Kuhusu kuuza Duka la dawa najua inatakiwa kusomea ila Mimi 'nimekulia' kwenye medical field kwahio kutoa dawa hizi za kawaida hainisumbui kabisa labda kesi kubwa hata hivyo nakaa kwa dharura tu si mda wote,Rama huwa nakuwa nae,hakai mwenyewe.
 
Unaposema mpaka atakaporudi utaongeza Tatizo,na huko shule vijana wengi huanza na kuwa jiwe kwenye huyo tabia,ili kumuokoa ndogo wako usiyefahamu Kama naye kajiingiza huko kwanini usiende?hawaruhusu kutembelea wanafunzi?watoto?wadogo zenu?
Jamani Hebu na wewe mwambie 😢😢afanye japo kitu maskini
 
Tafuta namna uwaambie wazazi wake tu, au unaweza kuongea na mama yenu awafikishie ujumbe wazazi wake. Pia tafuta njia ya kuongea na wadogo zako, ongea nao vizuri i bet they know it wale watu ukikaa nao karibu utawajua tu!

Wadogo zako wafahamishe, waonye na wajue kabisa wanajumuika na mtu wa aina gani maana ni mwenzao ambae wanakutana nae mara kwa mara!

Ila nimeumia sana hapo alipokuja kununua condom tu, angenikuta mimi asingeipata kabisa bila shaka imeenda kumtoa kilio huko alikoenda!!
 
Jamani Hebu na wewe mwambie 😢😢afanye japo kitu maskini
Kila mtu kampatia ushauri mzuri na unafaa ,kazi iliyobaki ni yeye kuchukua hatua mapema.

Jibu rahisi tu ambalo ameshindwa kufahamu kuwa nae mdogo wake ni mhusika wa Hilo janga kwa namna moja or nyingine Ni hili;-

Wakati anasifiwa kwa mara ya Kwanza walipokuwa ndani ya duka,kwanini huyo dogo gay hakuona aibu kumsifia kaka mtu mbele ya mdogo mtu?

Kwanini mdogo mtu hakushtuka?na hakuoneshwa kuchukizwa na tabia ya rafiki yake kumsifia kaka yake yote hayo ? Kama mdogo mtu angekuwa na haiba za kiume angemwambia hapo hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom