Soma taratibu kisa hiki kilichonitokea kisha nishauri

Kuna wazo umenipa labda la kuongea na mama yangu halafu yeye alifikishe ngoja nitalifikiria maana mama kuna bidhaa Fulani huwa ananunua hapo kwenye duka lao(wana duka),Pili nadhani nitaongea na Denis ajue nini kinaendelea kwanza,

Sio siri nimepita dakika tano zilizopita hapo njiani(maana duka lao lipo njiani nimemsalimia Mama yake wakiwa na huyu Dogo kwa mbali lakini nimeshindwa hata kuwaangalia

Kuhusu hizo condom Jana jioni alikuja akasema hajatumia bado ila alienda kanisani kweli asubuhi
Hata mimi nimeona mama aende aongee na mama mwenzake kule, litakuwa jepesi kwasababu ni watu wa hapohapo majirani wapo siku zote na pia litachukuliwa kwa uzito sana! Ila pole kwa yaliyokukuta mkuu!
 
Huko uliko Mungu aendelee kukutunza Chief
Yaani hili swala hua linaweka giza sana

Miaka ya nyuma watu ealikua hawatamani kuoata watoto wa kike kwa sababu ya tabia

Lakini sasa hivi watu hawatamani watoto wa kiume sababu ya hili janga
 
Mleta uzi kwa ninavyoona kaleta uzi ili aonekane ni moja kati ya watu walikutana na habari za kuhuzunisha lakini hayuko tayari kusaidia kwa namna moja au nyingi kuokoa watoto wengine.

Na anaendelea kuweka ugumu kuwa hata mdogo wake anaweza kuwa mhanga mkubwa wa hili tatizo..yani Kwa ufupi ni kwamba..anazuia mafuriko kwa chandarua.

Lakini pia,amesahau kuwa bado nae ni mzazi na ataendelea kuwa mzazi.Mungu anaweza kumbariki mtoto wa kiume pia.

Mleta uzi samahani kama nitakukwaza,naomba unisamehe tu..
Uzi wako ni mzito lakini majibu yako ni mepesi sana.binafsi yananifikirisha pia.

wema ni akiba,huruma,matendo mema kwa wengine ni akiba.inaweza kuwa hiyo akiba ya mema usiipate wewe..wakaja kuipata watoto wako au watoto wa watoto wako
Mkuu,nipo kwa ajili kushauriwa kwahio napokea ushauri wote tu mwisho nitajua upi ni sahihi wa kuanza nao,lengo hasa hapa alikuwa kumnasua huyu mtoto wangu baada kugundua huyu rafiki yake yupo hivyo ila kwakuwa wadau wanashauri pia niongee na wazazi wake nitaamua ni ipi njia sahihi ya kuiendea maana;

Kumbuka huyu ni underage,ukiingia tu kuwaambia wazazi bila akili anaweza akaitwa halafu akakataa hapohapo akageuza kibao labda mimi ndio namfanyia au tunajuana,hapo kesi itakuwa imechukua sura mpya,Voice notes zipo ndio lakini pia huwezi reaction ya wazazi wake itakuwaje

Lakini acha nipokee ushauri nitajua nini cha kufanya mwenyewe
 
Huyo dogo atakuwa ni bisexual gay, urafik wa Dogo na Rama ni wa kuwa makini nao, maana chochote kinaweza kutokea kati yao. Huyo dogo anatakiwa kupata huduma ya kitaalam ya saikolojia ya mahusiano ili asipotee.
 
Hayakuhusu mkuu za kuambiwa changanya na zako fukuza uyo dg na wachane wdg zako ukweli, Siku zote mwenye huruma hanaga bahati, muulumie utaona yatakayo kukumba
 
Mkuu,nipo kwa ajili kushauriwa kwahio napokea ushauri wote tu mwisho nitajua upi ni sahihi wa kuanza nao,lengo hasa hapa alikuwa kumnasua huyu mtoto wangu baada kugundua huyu rafiki yake yupo hivyo ila kwakuwa wadau wanashauri pia niongee na wazazi wake nitaamua ni ipi njia sahihi ya kuiendea maana;

Kumbuka huyu ni underage,ukiingia tu kuwaambia wazazi bila akili anaweza akaitwa halafu akakataa hapohapo akageuza kibao labda mimi ndio namfanyia au tunajuana,hapo kesi itakuwa imechukua sura mpya,Voice notes zipo ndio lakini pia huwezi reaction ya wazazi wake itakuwaje

Lakini acha nipokee ushauri nitajua nini cha kufanya mwenyewe
🤛🤛🤛🤛...🥂
 
Yaani hili swala hua linaweka giza sana

Miaka ya nyuma watu ealikua hawatamani kuoata watoto wa kike kwa sababu ya tabia

Lakini sasa hivi watu hawatamani watoto wa kiume sababu ya hili janga
Yani ni huzuni mno ndugu yangu.

Shetani yuko kazini kuharibu nguzo Za familia.

Hakika Mungu aingilie kati.inaogopesha mnoo🥺🥺🥺💔💔💔
 
Nae akamuuzi bila wasiwasi
Kwanza pale juu kumbuka niliweka ngumu kumpa condom bila hela,sio kwamba nilishindwa kumpa hela akaleta kesho yake hapana,ilikuwa moja ya njia ya kumuwekea 'ngumu 'ila aliporudi mara ya pili na hela nikajua yupo siriazi kwahio nikawaza,

Je kama anaenda kukutana na mtu kweli iwe mwanamke au mwanaume nisipompa si ndio atakuwa hatarini zaidi,nikaona nimpe,maana kama alikuwa anaondoka asubuhi ya SAA 12 asingeweza kupata duka lililo wazi
 
Na unavyo penda kumsapot yule choko humu

Ni kama vile unafurahia hiyo tabia leo unanishangaza
Hakuna haja ya malumbano Chief.nenda kalete comment yoyote niliyomsapot hapa.au unitag nitakuja kujibu mashtaka ya kumsapoti aendelee kufanya laana.
 
Kwanza pale juu kumbuka niliweka ngumu kumpa condom bila hela,sio kwamba nilishindwa kumpa hela akaleta kesho yake hapana,ilikuwa moja ya njia ya kumuwekea 'ngumu 'ila aliporudi mara ya pili na hela nikajua yupo siriazi kwahio nikawaza,

Je kama anaenda kukutana na mtu kweli iwe mwanamke au mwanaume nisipompa si ndio atakuwa hatarini zaidi,nikaona nimpe,maana kama alikuwa anaondoka asubuhi ya SAA 12 asingeweza kupata duka lililo wazi
Chief kama uliamua kuweka ngumu ninauhakika hata kama angekuja na kiasi gani usingempatia.

Ok tufanye labda ulifanya hivyo hukuwa na namna sio..haya ulishindwa kumfuatilia?man,bado aiseh

Kuna comment ya mtu nilishawahi kuisoma humu ni muda kidogo..yeye alifanya hivyo lakini alihakikisha alimfuatilia mpka alipoishilia.hapo sasa aliyagundua mengi na akaliweka wazi.
 
CHUKUA HATUA HARAKA ILI KUSAIDIA NA WEWE KUEPUSHA KUKUGHARIMU

mimi iliwahi nipata situation kama yako mahali fulani tena mara karibia tatu( wote ni watoto wa kichaga....sijui kuna uhusiano gani na watu wa moshi na arusha kwenye hili hata story za watu zinasema hivyo)

Wawili niliishia kuwashauri mimi pamoja na watu kadhaa wakadai kuacha....sielewi kama wameacha

Huyu wa tatu nitamuita Leon ingawa sio jina lake halisi
Leon alikua anapenda sana kupiga story na mimi time hiyo Mimi niko form six yeye yuko form two japo tulikua tunakutana likizo( sisi ni jirani) ikawa muda fulani akawa anaomba nimfundishe as tuition hivi sikupinga kwa sababu ninapenda kufundisha ingawa profession ya ualimu sio hobby yangu ...basi leon akaanza story za hapa na pale mara akikukuta anakuuliza umekula ukimjibu sijala anasema najua kupika tukiwa wawili ntakupikia mambo yakawa yanazidi kua mengi zaidi ikafikia nyakati akataka kuvuka mipaka akanitamkia ananipenda nikamueleza nakupenda pia kwa sababu binadamu wote tunatakiwa tupendane kwa amri ya Mungu yeye akasema ananipenda anataka awe submissive kwangu hilo neno submissive lilinishtua kidogo na that day nilihamaki baada ya kushikwa dhakari,nilikasirika hasira ikapanda ,lakini nikaamua kushusha hasira nijue mengi nilijua mengi na kifupi alianza shule na malezi yake pia yalichangia kwao yeye ni wakiume pekee na kwa mujibu wa maelezo yake anaweza kuingia room ya dada zake na akawakuta wako waziwazi na wala wasimfukuze na nyakati zingine anaweza sifia nguo au viatu vya kike akipita mdada mwisho nilimuweka chini kumshauri akaonekana kuelewa ingawa alikua anaomba sana msamaha kwao wasijue kwa sababu yule mzee Munishi angemuua kwa maelezo yake

Baada ya pale sijui alipata wapi namba yangu alikua ananihamasisha japo nimfanye tu hata asipokua na mimi kwenye mahusiano nimeblock namba zake nyingi sana ikafika hatua akawa kama kachoka juzi amenitafuta Instagram anasema yuko Udsm na anajihusisha na modeling,

NB; Modeling ni uwanja wa mashoga yafanyikayo huko mungu anajua na kwa maana hiyo sidhani kama ameacha huyu

Hiyo ni story iliyonisibu lengo na kuandika hapa
1.moja shirikisha wazazi wake vyema wajue ili umsaidie na uwasaidie
2.kuwashikisha wazazi wake kutakutoa wewe kwenye matatizo kwa sababu kuna siku nilipigiwa sim na mtu akisema ni dada ake leon akawa anasema amechukua namba nyingi kwenye sim ya leon ambazo anazihisi zina mawasiliano yenye viashiria vya mahusiano aidha kwa hao watu kumtaka huyo leon au huyo leon kuwataka ilinichukua muda kuaminika ikawa ni kutuma screenshot za chatings kila wakati ili kuaminisha kwamba sihusiki

Hivyo cha msingi shirikisha wazazi wake itakusaidia wewe,wao na huyo dogo pamoja na kizazi kingine

Usisahau kushughulika na wadodo zako akili yangu inaniambia kuna mshiriki mmoja kati ya hao wawili
Nashukuru kwa ushauri mkuu nitaufanyia kazi
 
Haya Madawa ya uzazi wanayotumia wake zetu yanaleta shida ya hormone mpaka kwa watoto wanaokua tumboni, wakizaliwa wanazaliwa na shida kama hizi za rafiki wa Rama!
Inaweza kuwa sababu?
 
Hata mimi nimeona mama aende aongee na mama mwenzake kule, litakuwa jepesi kwasababu ni watu wa hapohapo majirani wapo siku zote na pia litachukuliwa kwa uzito sana! Ila pole kwa yaliyokukuta mkuu!
Nashukuru mkuu
 
Huyo dogo atakuwa ni bisexual gay, urafik wa Dogo na Rama ni wa kuwa makini nao, maana chochote kinaweza kutokea kati yao. Huyo dogo anatakiwa kupata huduma ya kitaalam ya saikolojia ya mahusiano ili asipotee.
Upo sahihi huu urafiki ni wa kuwa makini nao mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom