Soma taratibu kisa hiki kilichonitokea kisha nishauri

Wewe ndio mtu pekee unayeweza kumsaidia huyo dogo. Usimchukie wal usitumie ubabe.

Onyesha upendo kuwa kama kaka yake pia uwe kama mshauri nasihi/counsellor. Ukishindwa muunganishe na washauri wabobezi/professional counsellors.

Pia shirikisha wazazi wake hilo ni janga kubwa. Yeye ameharibika na anaenda kuharibu wenzake.

Mungu akutie nguvu katika jukumu hili zito lililo mbele yako.

Amen.
 
Kuwaeleza wazazi wake kwangu ni ngumu sana kwanza sio watu ninaofahamiana nao ziadi ya kuwaona tu wakipita,pili Mimi huku ni kama mgeni tu maana huwa sikai hapa,halafu sasa tuhuma zenyewe nitakazopekeka kwao ni nzito mno,sijui kama kuna mzazi ataamini kirahisi
Kama una ushahidi wa audio wazazi wataamini tu.

Shirikisha wazazi. Sio lazima wazazi wote unaweza kuongea na baba tu au mama tu. Soma upepo.
 
Kwa hyo wenye sura ya mama...ndo hvyo tena..

Eeh Mungu utujalie kutuepusha na fitna hzo katka familia zetu...

Na mtindo wa kuwala hao mash*ga mwsho wa sku unajikuta na wewe unazaa shoga ktk damu yako...coz karma is there
Well said!
 
Wewe ndio mtu pekee unayeweza kumsaidia huyo dogo. Usimchukie wal usitumie ubabe.

Onyesha upendo kuwa kama kaka yake pia uwe kama mshauri nasihi/counsellor. Ukishindwa muunganishe na washauri wabobezi/professional counsellors.

Pia shirikisha wazazi wake hilo ni janga kubwa. Yeye ameharibika na anaenda kuharibu wenzake.

Mungu akutie nguvu katika jukumu hili zito lililo mbele yako.

Amen.
Nashukuru kwa ushauri nitajitahidi kadri ya uwezo wangu
 
Carlos chizi yule😆😆ukifuata ushauri wake utavunjwa ugoko
Mnoo, yaani anafanya ngono ionekane jambo simplee, ukisoma nyuzi zake unaweza ukaanza ziara ya kupitia boma za watu na kuwaambia wake za watu vueni niwakule,ila baada ya hapo balaa lake sasa
 
Mnoo, yaani anafanya ngono ionekane jambo simplee, ukisoma nyuzi zake unaweza ukaanza ziara ya kupitia boma za watu na kuwaambia wake za watu vueni niwakule,ila baada ya hapo balaa lake sasa
Hafai yule mwamba.kwanza kapotea siku hizi sijui aliingia kusiko ingilika akavunjwa ugoko 😃😃
 
Hafai yule mwamba.kwanza kapotea siku hizi sijui aliingia kusiko ingilika akavunjwa ugoko 😃😃
Nahisi alikula muke ya kepteni wakamkula na yeye, ila muhuni sana yule jamaa, yaani anakwambia sijui alikutana na mwanamke anaenda sijui dukani akamsalimia akamwambia nataka nikutyombe, demu akakubali akaenda akamuwasha, sasa ukitaka kujaribu huu moto ambia na wewe muke ya jirani yako uone mbiu ya mgambo utakayopigiwa na watu wa mataifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom