Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

Wakuu hii app sijaipenda bora hiyo ya zamani, maana hii mpya haijakaa vizuri hata kidogo. Niombe wahusika wairudishe yazamani tuu, hata rangi yake sijaipenda kabisa haivutii.
Vipi ninyi wakuu mmeielewa?
utaipenda tuu.... kwa taarifa tuu hakuna maboresho ambayo yameshawai kufanywa na jf either kwenye website au Jf app..... yakakubaliwa na watu wote...kila maboresho hupingwa na watu hutaka ya zamani yarudi...hata muonekano huu wa jf kwenye browser yalipingwa sana ...
 
Sina mengi ya kuongea Ila ningependa kupongeza haya mabadiliko yaliyofanyika kwenye app ya jamii forum. Kuanzia mpangilio wa post, majukwaa na sehemu ya kusearch post mbali mbali naona imerahisishwa sana maana ilikuwa inanisumbua kidogo. Lakini mbona kila nikitaka kubadili nk name ninayotumia bado nashindwa au haibadilishwi kihorela?.

Yote kwa yote shukrani sana.

Kupongeza sio dhambi.
 
Salaam,

Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba hatimaye tumekamilisha maboresho tuliyokuwa tukiyafanya kwenye APP ya JamiiForums na sasa inapatikana ikiwa na muonekano mzuri zaidi pamoja na urahisi wa kutumia. Unaweza kuipakua sasa au kama tayari unayo tafadhali fanya Update ili kupokea maboresho hayo.

Kwa takribani siku 10, baadhi ya watumiaji wa device za mfumo wa Android mlikutana na changamoto ya kutoweza kuipata App ya JamiiForums kupitia Playstore; JamiiForums haipatikani Playstore. Nini tatizo?

Tunashukuru kwa uvumilivu wenu katika kipindi chote tulichokuwa tukiifanyia kazi.

Kuna swali lolote?

Karibu..
What's new ktk hiyo upgraded JF aps yenu!?
 
Hebu tuwekeeni hapa ili tufanye maamuzi sahihi.

Halafu if possible, muweke uzi wenye na old version apks za JF ili kama new version zitazingua mtu ujishushie zile za zamani
 
utaipenda tuu.... kwa taarifa tuu hakuna maboresho ambayo yameshawai kufanywa na jf either kwenye website au Jf app..... yakakubaliwa na watu wote...kila maboresho hupingwa na watu hutaka ya zamani yarudi...hata muonekano huu wa jf kwenye browser yalipingwa sana ...
Naomba kujua kwa nini notification haziji? Ni kwangu tu au kwa kila sim?
 
Mtu akikumention hupati notification, sms hazifiki on time

Kama hayo pia yameboreshwa itakua poa sana mana mtu inabidi tutumie app na web kwa pamoja
 
Nilijua kwangu tu. Ikabidi nicheck settings ila hamna tatizo lakini notification sipati.
Nilisema si-update kwanza, notifications zikagoma kuanzia App ya zamani.

Nikasema ngona ni update naweza kutatua tatizo, lakini tatizo bado lipo pale pale.

Bila notifications sioni Raha ya JF kabisa
 
Back
Top Bottom