Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

Naomba nitoe pongezi kwa uongozi mzima wa Jf kwa kuboresha app ya JF.

Mwanzo kabisa nilipo soma baadhi ya comment za wachangiaji wameiponda hii Apdate.

lakin kiukweli App kwa sasa ipo vizur sana tofauti na mwanzo, imekaa kisasa zaidi.


bravo C.E.O
 
Wakuu hii app sijaipenda bora hiyo ya zamani, maana hii mpya haijakaa vizuri hata kidogo. Niombe wahusika wairudishe yazamani tuu, hata rangi yake sijaipenda kabisa haivutii.
Vipi ninyi wakuu mmeielewa?
 
Back
Top Bottom