Hiyo rangi ya bluu haijanibariki kabisa bora niendelee na hii nyeusi(night mode)
sisi wa freebase tushakuwa kama sugu huku ngoja tuje test mitambo na huko
toka niingie jf nilitumiaga app week nika tu nadhani baada ya hapo niliamia freebase maana ndo ilikuwa fast kuliko appNjoo mzee iko vizuri
Mzee baba bado vyuma vimekaza?sisi wa freebase tushakuwa kama sugu huku ngoja tuje test mitambo na huko



Aahhh sawa ,sasa Mimi toka Juzi jioni sijapokea tena notification yoyoteHilo tatizo hata mimi huwa linanitokeaga my aka sometimes naamua kutumia browser
Basi sawa ,kwakua niwengi bila shaka watalitatua !!.Hili tatizo hata kwangu nimeliona jana yaan jf kwa kuvizia
Hili tatizo hata kwangu nimeliona jana yaan nipo jf kwa kuvizia