Solve dis if u r Great thinker

Solve dis if u r Great thinker


Hebu jaribu ku google na wewe kama ni rahisi hivyo......muwe mna aoppreciate efforts za wengine pasi na kuponda
[/QUOTE

Watanzania wengi ndivo walivo hawataki kuona watu wanawazidi, hivo inabidi waponde, mbona wewe dotworld hukujibu kama google inasaidia au hujui kuitumia?
 
goja nimjaribu safari ni matembezi yanaweza kuwa ya miguu.basi,bajaji,fast jet au tre ni lakin zote ni safari na safari moja huanzisha nyingine na ndio maana akajiita@safari ni safari au sio?
 
Hapo Mkuu acha kutuzuga! Umedesa kwenye google mwanangu! Mbona rahisi tu.
[h=1]11 letter city. last 6[/h]11 letter city. last 6 letter is fruit name. 783 is a bird name. 6753 is a organ of a face. 183 is a use for student.953 is a soap name.boys love this place.

Uki-google kama ilivyo hapo juu kila kitu kinakuja kama kilivyo kwenye swali! Au ukiona shida unaandika 11 letters city in the world halafu unaanza kuchambua mwenyewe. Nahitimisha kusema UMEDESA GOOGLE WEWE, BILA GOOGLE WATU TUNGEKESHA HAPA!!

Mkubwa mpeni haki bwanaa!
Hilo quiz haligogeki kama unavyodhani.
 
Mkubwa mpeni haki bwanaa!
Hilo quiz haligogeki kama unavyodhani.

Linagogeka Mkuu!

Labda tu useme hujui kutumia Google! Mwanangu kuna njia nyingi za kugogesha vitu kama unatumia google usipende kuwekewa vitu direct.

Safari-ni-safari ni mtaalam wa kugogesha vitu wewe! Sasa jaribu kuandika "city name with fruit name" au "City in the world with 11 letters". Hapo utamwagiwa options nyingi kazi inabaki kwako tu kutafuta, mpaka wanakuletea swali lilivyokuwa limeulizwa Boflo. Ukiona google inakuzingua unaenda kwenye search engine ya Yahoo! Maswali staki!!
 
Back
Top Bottom