Soksi

Soksi

Hahaha kuna siku nilimdeku jamaa mmoja anajidaigi kweli, kavaa soksi za shule. Yaani za praimare.

Ila mi navaaga zile zina lace juu hivi kama za kipaimara
 
Ila mi navaaga zile zina lace juu hivi kama za kipaimara

Hahaha I can imagine vile unaonekana decent halafu hapo unatupia na skuna 'kokoko' zile waiti kama za kipaimara mbele zina kiua hivi.
 
Umechemsha kidooogo jitahidi mpatie nyepesi hizo kama ni dar haishi kulowa jasho, kwa rangi nakupa byeee na kawivu juu

haaha si tuko Mafinga Iringa huku kuna baidi sana....

hako ka wivu kashindwe na kulegea
 
hivi ndivyo ninamvyomvisha lahazizi wangu kiwatengu kila aamkapo asubui kwenda job
s.JPG

sio kina Bishanga na Bujibuji kutwa wamevaa hivi
sockssummer.jpg

ni vizuri tukajifunza huu uvaaji na usafi wa socks hasa wanaume
maana ni majanga socks inarudia siku tatu na joto la bongo utadhani kuna panya kafia ndani
mjitahidi kuwa wasafi jamani
 
Last edited by a moderator:
za Mtambuzi hizo wala hujakosea
alivyokuwa kigali alituoneshakwenye picha yake kabla hajaogelea

Kumbe wanaogeleaga na socks!? me nilikuwa sijui. Lakini mbona inaonekana kama anajiandaa kulala? Isije kuwa ulimpiga picha wakati mko chumbani!?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom