Soko ndani ya JF linadai Matchmaker forum........................

Dunia hii jamani......nimeletewa na Lizzy(mama mchungaji) huyo Klorokwini,sifa nilizopewa nimehisi ni malaika.....kumbe huko alikotoka ni mnyanyasaji????nisaidieni mwenzenu!!!
member wapya wanajiintroduce kule kwenye jukwaa la introduction, mbona wewe upo hapa?
 
PHP:
Ngoja nije pm inaweza kuwa bahati yangu hahaaa
ila mkuu akifanya hivyo itasaidia sanaa

You never know.......................what God has in store for all of us......................................
 
PHP:
Sawa naenda jitambulisha.......:laugh::laugh:
Usijitambulishe mbona uko jamvini siku mingi.........................
 
Mkongwe wa JF anasema sikupita kule kwenye lile jukwaa,niliingia kinyemela.....inabidi nianze upya......:coffee:
 
Kumbe wana JF hukutanaga live na JF Management?!! :twitch:
 
Dunia hii jamani......nimeletewa na Lizzy(mama mchungaji) huyo Klorokwini,sifa nilizopewa nimehisi ni malaika.....kumbe huko alikotoka ni mnyanyasaji????nisaidieni mwenzenu!!!

mmmh.....ushauri wa bure ndugu yangu......hafai huyu...Da Sophy akitokezea huwa anatimuka kama kisulisuli.....stuka
 
Hiyo avatar nimeipenda!! big up yourself Preta......:laugh::laugh::laugh:

Hapo ni baada ya kurudi home saa saba tukiwa na nanihii za kutosha kichwani.....hata kitanda hatukiona......halafu asubuhi tukawahi hongera bar kubugia misupu na michapati.

Tehe tehe!
 
hihihi....habari yake Bigi.......
 
Dunia hii jamani......nimeletewa na Lizzy(mama mchungaji) huyo Klorokwini,sifa nilizopewa nimehisi ni malaika.....kumbe huko alikotoka ni mnyanyasaji????nisaidieni mwenzenu!!!

Bwoiii!!!Kumbe nna kesi huku??Michelle njoo nikubembeleze mama.....Kloro nisikuone kabisa mtaani kwetu...baki huko huko ulikozoea!!!
 
mmmh.....ushauri wa bure ndugu yangu......hafai huyu...Da Sophy akitokezea huwa anatimuka kama kisulisuli.....stuka
dah! yaani leo nasoma post zako tu. yaani nilikumiss mpaka nikawa naquote post ya wiselady halaf najisahau namuita Preta. Khaa! mapenzi yanatia ulemavu jamani.
 
mnaombwa msitoke ofu topik jamani. mada inazungumzia matchmaker forum
 
mmmh.....ushauri wa bure ndugu yangu......hafai huyu...Da Sophy akitokezea huwa anatimuka kama kisulisuli.....stuka

Nashukuru,ndo tunaambiwa take time before you fall.....ona sasa,ningekurupuka??? Thanks Preta....
 
Hapo ni baada ya kurudi home saa saba tukiwa na nanihii za kutosha kichwani.....hata kitanda hatukiona......halafu asubuhi tukawahi hongera bar kubugia misupu na michapati.

Tehe tehe!

Wewe ni mume wa mtu na yeye ni mke wa mtu.......dunia tunapita eeehhh,kila kitu kitabaki hapaaaaaaaaa......binadamu ni mchanga.......
 
dah! yaani leo nasoma post zako tu. yaani nilikumiss mpaka nikawa naquote post ya wiselady halaf najisahau namuita Preta. Khaa! mapenzi yanatia ulemavu jamani.

wewe nimekuzoea......ukishatimuliwa huko na Da Sophy baada ya kufulia....unarudi kwangu....haya....tudumishe mapenzi yetu.....sitakuacha kamwe....lakini tutakuwa tunatengana kwa muda....kulingana na upepo unavyovuma
 
hehehe hiyo dasophy usiitaje bana itaharib apetait yangu ya kukoga, heheheh si unaona maneno sasa bana. tupendane kama email na password . hivi nikiuliza ulikuwepo wapi hautokasirika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom