Soko ndani ya JF linadai Matchmaker forum........................ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko ndani ya JF linadai Matchmaker forum........................

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Feb 7, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,231
  Trophy Points: 280
  Nimepitia maoni ya wana-JF wengi humu na kubaini kuna kiu kubwa ya forum ya matchmaker.....................wako wengi wanataka uchumba au urafiki lakini wanajimungunya humu kwa kukosa forum sahihi ya kujimwaga.............................

  Sijui wenzangu mnalionaje hili.................................lifanyiwe kazi au la......................
   
 2. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Lifanyiwe kazi,wasaidike wenye uhitaji huo.....i hope majukwaa mengine hayatamezwa......l.o.l:laugh::laugh::laugh:
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  wakati wana JF walipokutana Arusha....waliliwakilisha hilo kwa Maxence....nadhani atakuwa analifanyia kazi
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Hiyo avatar nimeipenda!! big up yourself Preta......:laugh::laugh::laugh:
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,231
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Lifanyiwe kazi,wasaidike wenye uhitaji huo.....i hope majukwaa mengine hayatamezwa......l.o.l:laugh::laugh::laugh:
  yakimezwa hakuna shida kwa sababu lengo ni kukidhi mahitaji ya soko.............................na hiyo matchmaker wahusika ni lazima wabandike picha kibao kutoa mwanya wa wale wanaowatafuta waweze kufanya maamuzi saawia..............................bila ya picha maamuzi ni kigugumizi......................................

  Na itoe nafasi kwa wale wenye maeneo ya karibu kuweza kuwasiliana.............yaani forum zinaweza kugawanyika kimikoa kurahisisha mawasiliano na kujua wapi utapata watu wa sehemu ulioko...............tujuavyo............................distance sometimes is a barrier to meaningful romancing the stone.............in particular.....................................
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Best vipi ww umeshapata au bado upo upo :coffee:
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,231
  Trophy Points: 280
  PHP:
  wakati wana JF walipokutana Arusha....waliliwakilisha hilo kwa Maxence....nadhani atakuwa analifanyia kazi
  basi tuendelee kukumbushia.................................
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,231
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Best vipi ww umeshapata au bado upo upo :coffee:
  Swali hilo niulize kwenye PM yangu nitakupa jibu la uhakika.............................
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,231
  Trophy Points: 280
  [​IMG]A new look.............fort Maria Roza...........this time around?????????????????????

  [​IMG]
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,231
  Trophy Points: 280
  PHP:
  wakati wana JF walipokutana Arusha....waliliwakilisha hilo kwa Maxence....nadhani atakuwa analifanyia kazi
  Tutoe maoni ya jinsi ya kuliboresha hilo jukwaa liweze kukidhi mahitaji ya soko.........................
   
 11. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ngoja nije pm inaweza kuwa bahati yangu hahaaa
  ila mkuu akifanya hivyo itasaidia sanaa
   
 12. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  umefichwa loki au engaruka??????
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  thx baby girl....how is you.......
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Terrat my dear.....hihihi.....hujambo....
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  why? preta why? kwanini lakini preta? sawa bana.
   
 16. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Am good my dear,JF inarahisisha maisha........:laugh::laugh:
   
 17. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mi cjambo mpenzi,,hiyo terat hiyo!!!haya basi hebu msikilize klorokwin hapo juu
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  huyu klorokwin alininyanyasa sana kipindi cha nyu yia....kutesa kwa zamu bana....acha ajibebe
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  yaani madaktari waliniambiaga ukipotea siku nne tu zaidi mie napoteza uhai, dah! hii skukuu ya leo kuliko krismasi
   
 20. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Dunia hii jamani......nimeletewa na Lizzy(mama mchungaji) huyo Klorokwini,sifa nilizopewa nimehisi ni malaika.....kumbe huko alikotoka ni mnyanyasaji????nisaidieni mwenzenu!!!
   
Loading...