Soko la Uhindini Mbeya lawaka moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la Uhindini Mbeya lawaka moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Planner, Dec 1, 2010.

 1. The Planner

  The Planner JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wana jf, soko kuu la uhindini jijini mbeya linawaka moto hivi sasa, hali siyo nzuri
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hilo soko liko kwenye jimbo la sugu?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  eeh...poleni mkuu....unaweza kujua chanzo ni nini...
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  duh! na zima moto za kibongo ninavyozijua! hiyo ngoma mpaka asubuhi
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Yes, liko jimboni kwa Sugu, yaani city center ya Mbeya.
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kama kuna hbr zaidi ingekuwa vizuri! Ila poleni sana wana Mbeya!
   
 7. The Planner

  The Planner JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mtihani wa kwanza kwa mpiganaji SUGU, bado sijapata source ya moto huo but jitihada zinafanyika kujua chanzo..
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Taarifa niliyoipata kutoka kwa rafiki yangu aliyepo huko anasema hali ni tete sana...
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  chanzo nini?
   
 10. M

  Malila JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Usemacho ni sahihi, nimepiga simu kwa jamaa yangu ana duka pale anasema hali ni mbaya na yeye na vijana wake wanachakalika kutoa vitu dukani.
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Inawezekana kisababishi ni turn and score kwa mgao wao.
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kuna juhudi zozote za kuukabili moto??
  maisha ya watu hayapo hatarini??
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ni njama za ccm kuwarudisha nyuma wananchi wa mby, ene wei poleni sana
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mmhh....kama ni hivyo mbona wahanga tutakuwa wengi....kwa hiyo wakitoka Mbeya wataenda MWZ, ARS, MSM, KRT.....nk
   
 15. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  you are surely a great thinker!
   
 16. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Nadhani mnakumbuka moto kama huo Stand ya Moshi enzi hizo viosk vilichomwa mno sasa hivi Manispaa
  inajichukulia Kodi kiulaini... Sijajua kuhusu soko la Uhindini?
   
 17. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Poleni wanyambala!! Kywara awatule....
   
 18. K

  Kiti JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  BAado tunasubiri la Kigoma liunguzwe na labda pale Mwanza na Musoma
   
 19. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,745
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  Hii inji bana kila siku mioto duh!! Poleni wahusika
   
 20. D

  Dwork1 Member

  #20
  Dec 2, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mpaka wakati huu hari inaendelea vizuri kwani kwa sasa hivi moto umedhibitiwa kwa sehemu kubwa
  PICT0034.JPG
  PICT0021.JPG hali ilivyo kuwa ikiendelea katika soko kuu la uhindini jijini Mbeya
   
Loading...