Soko la Uhindini Mbeya lawaka moto

The Planner

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
357
118
Wana jf, soko kuu la uhindini jijini mbeya linawaka moto hivi sasa, hali siyo nzuri
 
eeh...poleni mkuu....unaweza kujua chanzo ni nini...
 
Mtihani wa kwanza kwa mpiganaji SUGU, bado sijapata source ya moto huo but jitihada zinafanyika kujua chanzo..
 
Taarifa niliyoipata kutoka kwa rafiki yangu aliyepo huko anasema hali ni tete sana...

Usemacho ni sahihi, nimepiga simu kwa jamaa yangu ana duka pale anasema hali ni mbaya na yeye na vijana wake wanachakalika kutoa vitu dukani.
 
Kuna juhudi zozote za kuukabili moto??
maisha ya watu hayapo hatarini??
 
BAado tunasubiri la Kigoma liunguzwe na labda pale Mwanza na Musoma
 
Mpaka wakati huu hari inaendelea vizuri kwani kwa sasa hivi moto umedhibitiwa kwa sehemu kubwa
PICT0034.JPG
PICT0021.JPG hali ilivyo kuwa ikiendelea katika soko kuu la uhindini jijini Mbeya
 
Back
Top Bottom