Soko la mwanamke lipo kwenye umri wake

Soko la mwanamke lipo kwenye umri wake

Subiri kwanza binti yako apite salama ile interval ya miaka 15-25 ndio uongee kila kitu
Kosa liko hapo.

Marry your daughters off. Look for wives for your sons. That's what the Lord commanded also.

"Marry and have sons and daughters; find wives for your sons and give your daughters in marriage, so that they too may have sons and daughters. Increase in number there; do not decrease."
jeremiah.29.6.NIV

If I had daughters all I'd be seeing is money. Mabinti wako wakiwa mbele yako unaona ng'ombe tu wamejaa malishoni.
 
Ehh dada wewe!!!!

Kama saivi unaona una muda wa ku spend sana.

Piga hesabu pia kua umri ukienda utamudu kuendesha maisha kwa ku spend...

Umri ukienda Utakupa pressure ya kutaka wanaume sasa wawe wakweli kwako ...
Wakati kipindi kile walikuja wakweli kwako uliona hujamaliza ujana ukachagua kula pesa zao na kuwaumiza...

Umri ukienda hata kama una biashara yako hakikisha unaweza sasa ku mudu hasira maana utakua upo single ila changamoto yoyote mwanaume akitaka kukutatulia atakutaka ki mapenzi hata kama ana sura kama nyani zee
Umri ukienda...je utamudu kufanywa mchepuko wa kudumu ili upate msaada wa watoto wako ulio zaa na yule kijana bishoo kipindi cha viwanja ukitaka kuzaa watoto wa muonekano...ili mtaani tukusifie kua una mtoto mzuri ...

Umri ukienda umejiandaaje..kusemwa umekalia umalaya tu hakuna lolote wakati wadogo zako mtaani uliokua unawaona wanakuja na kuolewa kwa ndoa wewe upo tu na skin care umekalia ku grow
😁
😁


Upweke utaumudu Msongo wa mawazo utakabiliana nao...

Vipi kudharaulika maana kila mgeni mtaani akija anaonyeshwa wewe ndio demu wa haraka haraka wa kukula apoze nyege zake...
Mafanikio ya kiuchumi nibora kuliko ndoa. Ungewashauri zaidi kupambana kiuchumi ungekuwa umefanya jambo la maana
 
Binafsi naona vijana wa kiume wa sasa ndio wana tabu kubwa , naona kama wadada wameshavuka huko , na vijana wa kiume ndio wana tabu kubwa sana🤔
Kila upande una shida ila ya mwanamke ni kubwa zaidi hadi apate wanaume atakayeamua kumuoa ni kazi ngumu sana.
 
Mambo yamebadilika zama hizi sio za mama zetu, Kuna mademu hata hawawazi ndoa aaani
 
Back
Top Bottom