Kuwekeza (investment) inahusisha kucheza kamari ya aina fulani (kwa Kiingereza wanaita speculation). Mradi unaweza kutema mara moja, ukatumia muda mrefu kabla ya kutema au ukafa kabisa.Kampuni ya Precision imenifanya nione kuwekeza kwenye hisa ni kupeana presha tu maana tangu tununue hisa zake hakuna kilichopatikana kwa wanahisa! bei ya hisa iko vile vile toka Novemba 2011.
Anyway kila mtu anavutia upande wake hata akiona unamuelemea ila si vizuri hasara yako kuwaunganishia na wengine.
Pole mkuuKampuni ya Precision imenifanya nione kuwekeza kwenye hisa ni kupeana presha tu maana tangu tununue hisa zake hakuna kilichopatikana kwa wanahisa! bei ya hisa iko vile vile toka Novemba 2011. Anyway kila mtu anavutia upande wake hata akiona unamuelemea ila si vizuri hasara yako kuwaunganishia na wengine.
Pole mkuu. Hata mimi nilinunua huko, bad decision! Sema nina nyingine za CRDB, swissport na tbl huko mambo mazuri. Ndio maana wataalam wanashauri uwe na portifolio ya hisa za makampuni mbalimbali ya sekta mbalimbali.Kampuni ya Precision imenifanya nione kuwekeza kwenye hisa ni kupeana presha tu maana tangu tununue hisa zake hakuna kilichopatikana kwa wanahisa! bei ya hisa iko vile vile toka Novemba 2011. Anyway kila mtu anavutia upande wake hata akiona unamuelemea ila si vizuri hasara yako kuwaunganishia na wengine.
Pole mkuu. Hata mimi nilinunua huko, bad decision! Sema nina nyingine za CRDB, swissport na tbl huko mambo mazuri. Ndio maana wataalam wanashauri uwe na portifolio ya hisa za makampuni mbalimbali ya sekta mbalimbali. kwangu mimi mwisho wa siku nina positive return kwa hela niliyoinvest pamoja na kutopata kitu precision
Mdau sijakuelewa hapo, say nimeshafanya maamuzi ya kununua hisa 100 za kampuni x ambazo leo ni tsh 100 najua nitatakiwa kulipia 10,000 kununua hisa zote. Sasa point no. 3 imekaa as if kuna extra cost ambazo broker atakalulate nje na ambazo nimeshazijua. Naomba maelezo zaidi pls?2. Jaza fomu ulizopewa
Baada ya kuprint fomu ulizotumiwa utajaza kutokana na mahitaji ya fomu husika. Baada ya kumaliza kujaza fomu zako, utazi scan zote na kuzituma kama attachment kwenye email ya brocker na kusubiri majibu kutoka kwake.
3. Utatumiwa kiasi cha kutuma na akaunti ya benki kwa ajili ya kuingiza pesa
Baada ya kutuma fomu zako kwa brocker atazipitia na kujua ni kiasi gani ulipie ili uweze kununua hisa hizo. Baada ya kupata akaunti ya benki ya utaingiza kiasi cha pesa ambacho umeambiwa kwenye akaunti ya kampuni ya brocker. Baada ya kulipia benki pesa za ununuzi wa hisa uta scan risiti ya benki.
Siku kampuni za mawasiliano zikianza kuuza hisa zao nistueni nitapanda treni kuja dar kununua
Mdau sijakuelewa hapo, say nimeshafanya maamuzi ya kununua hisa 100 za kampuni x ambazo leo ni tsh 100 najua nitatakiwa kulipia 10,000 kununua hisa zote. Sasa point no. 3 imekaa as if kuna extra cost ambazo broker atakalulate nje na ambazo nimeshazijua. Naomba maelezo zaidi pls?
Hili swali linahitaji jibu zuri Lakini wakulijibu siwaoni maana na Mimi nahitaji maelezo mazuri. Jana mimesikia Mpango yupo kwenye mkutano wa hii issue illa hadi sasa natafuta sipati jibunaomba kujua hivi hisa zinazo uzwa primary kama (IPO) huwa zinatangazwa wapi mana DSE mbona hawahusiki ?