Na zenyewe hazihitaji software nazo?maana kuna watu walisema dongle zote zinamuda wa kutumika baadaye unabadili software,ufafanuzi kwa anayejua.halafu zinauzwa bei gani?na zinapatikana wapi?na kama za kubadili software ukibadili inakaa muda gani?ufafanuzi