Ni maelezo marefu sana. Ni vizuri ungeanza katika low level technical explanations ya kila kitu, utafahamu wapi vinapokutana.
Anza kuelewa kabisa kwamba whatever behaving in a computer inafanywa na electric signals bas! Kuanzia picha ya kwenye screen na vingine. Kwa mfano wengi wanazungumzia computer inaelewa 1s and 0s, lakini ni wanarahisisha tu maelezo. Katika central processing unit, kinachotambuliwa ni 'switches' bas; yaan, on and off, of which tunaita ones and zeros.
Sasa software ni kama interfaces katika command zako user na electronic parts of that machine.
Hivyo, ukitaka kuelewa kirahisi, unatakiwa ubadilishe mtazamo wako wa utambuzi wa hivyo vitu. Nina maana, anza kuchukulia vitu kama vilivyo. Mfano, ukiona screen, angalia what makes it appear like that. Namaanisha, get deep to every part of the computer part, then utaelewa.
Hakuna magic. Ni kwamba ni technologia za muda zilizokuwa zikiendelezwa kwa kidogo kidogo, na ndio maana inakuwa ngumu kuzielewa faster.
Also, kama alivyopendekeza jamaa hapo, tafiti kuhusu kernel(s). Ila msingi niliotoa hapo juu, utakupa mtazamo wa technology hii.
Kwa ushauri tu, never limit your mind. Magic ni pale ones mind inaposhindwa kujua siri ya mechanism behind something.
Sent using
Jamii Forums mobile app